Recent content by bhambi

  1. bhambi

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

    Nadeclare interest kwamba mimi nimehudhuria training ya TMT na ninafahamu yafuatayo 1.Hakuna mtu anayefanya biashara isiyomlipa of course TMT wana chao JP markets kwa kupeleka wateja kutrade na huyo broker This is totally understandable sioni tatizo juu ya hili.Hata audio ikiletwa haitabadili...
  2. bhambi

    JamiiForums Tanzania Miili ya wendawazimu ina kinga ya aina gani?

    Natural selection mkuu kumbuka wanyama hawa wamekua wakiishi kwenye hostile enviroment kiasi cha kwamba wanyama waliosurvive ni wale waliokua na superior genes ambazo zimekua passed from one generation to another.si kwamba hawana vimelea vya magonjwa ila prolonged exposure ndio inawafanya...
  3. bhambi

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    "Kwa yesu kuna raha"umeimbwa na ngarenaro kwaya miaka ya 2000
  4. bhambi

    JamiiForums Tanzania Nimeimba wimbo huu, najua kuimba au sijui, naomba ushauri

    Kutoka home studio hiyo ni bonge ya kazi,with minor corrections to your voice (sijui ndo wanaita pitch) utakua fayaaa.u might need to put a lil work on your harmonies pia ..trust me ni uchawi mkubwa sana kwenye music.Goodluck!
  5. bhambi

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya wachaga moshi...baba jesca shikamoo

    Nunua private mkuu
  6. bhambi

    JamiiForums Tanzania ADDITIVE YA KUZUIA PEREGE KUZALIANA BWAWANI

    Habari njema mkuu,elezea kidogo tafadhali imetengenezwa na nini na inafanyaje kazi given the fact kwa sasa jamii iko makini na matumizi ya kemikali kwenye vyakula
  7. bhambi

    JamiiForums Tanzania Opportunists hata kama ajira hakuna lakini mnawatumia watu vibaya

    Pictures say a thousand words buddy
  8. bhambi

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hapa nilipo nawaza kucut loss ya 500+,sina wa kumlaumu zaidi ya mimi mwenyewe sababu zinazonigusa moja kwa moja ni kuhold reds nikitumai trend itageuka na kutokutumia stop loss,u can have the best mentor in the game ila usipokua na discpline na ukubali kujifunza na kuimprove kwa kila kosa...
  9. bhambi

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

    I agree with you hii kitu inaitwa ukoo ni upuuzi,very segregative kuna ubinafsi wa kiwango cha lami...ngoja niishie hapo mkuu
  10. bhambi

    JamiiForums Tanzania Weekly Trading Forecasts for Major Pairs (December 25 - 29, 2017)

    Some of us still holding mazee ni hatari
  11. bhambi

    JamiiForums Tanzania Zijue mbinu wake zetu hutumia kuwasiliana na michepuko kwa simu bila sisi kujua

    Kumbe nishatengewa na msosi waiii what more can i ask for?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. bhambi

    JamiiForums Tanzania Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

    Tanzania eeh..... nchi yangu oooh,... have you guys tried to reserve your time and read abt forex?( most of you fail before even finishing the first book let alone executing a single live trade)so u dont wanna discourage people who are genuenly interested in knowing how forex works.U mustn't...
  13. bhambi

    JamiiForums Tanzania Technical Reviews for Gold and Silver (December 2017)

    Thanks for sharing mkuu
  14. bhambi

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Who is wema sepetu in Tanzania politics?
Back
Top Bottom