Recent content by bhakamba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli 2020 ajenge Ruvuma cannel (mfereji) toka Mtwara mpaka Ziwa nyasa, kama Panama na Suez

    Bado unapitia ramani lete maoni yako
  2. B

    JamiiForums Tanzania University of DSM Computer center, Mbeya branch

    Wakuu naomba kujua taarifa mbalimbali za hii senta ya computer training.ubora wake kwa watu waliopita pale au kwa kusimuliwa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

    Na ajue sio kila kitu lazima ufanye kama fulani wa kimataifa hizo ndo komedi asilia zinazungumzia uhalisi wa bongo kwa mfumo wa vichekesho tatizo watu wakishaona vya wenzetu akili inafungiwa huko kumbadilisha ni kazi Mr bean na champlin wanachekesha lakini vingi ni vituko na uhalisi kwa maisha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Magari mengi yanayobeba abiria yanachanganya abiria, ng'ombe na nguruwe

    Ila ni kweli amesahau isongole kwenda mpemba fuso za kina Toronto,smart ni balaà kuku mixer mbuzi,ruwe ndizi
  5. B

    JamiiForums Tanzania Gari lenye usajili wa NS kwenye nyumba ya ibada

    Kweli mkuu mawazo ya udini tuuu yanatusumbua tulia naye MTU anahaki zake kuabubu haijalishi katumia usafili gani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Gari lenye usajili wa NS kwenye nyumba ya ibada

    Acha ukanisa na tuambie kwanza limepaki kanisa gani na we we muumini wa kanisa gani tuanzie hapo mjadala
  7. B

    JamiiForums Tanzania Lain ya M Pesa inauzwa

    Changamkia fursa ewe mjasiliamali ongezea vyanzo vya mapato gengenn/dukani/mgahawani kwako kwa Huduma ya m_Pesa lain inapatikana Mbalizi mbeya kwa tsh 180000 usiogope maongezi ni bure
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

    Kwanza huyo ni mshia au msuni na hao wasomi aliowaorodhesha ni mlengo UPI shiaaa au suniii maana asije teua shia alafu Sunni wakaunda kundi LA msituni hapa bongo sijui wataliitaje
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislam hawajifunzi?

    Saizi akitoka mkatoliki tunataka mmoraviani tumechoka sasa kuongozwa na watu wa mataifa wasiomjua mungu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

    Wasomi wa kiisilamu wapo toka zaman kwa nini msidai tangia huko kikwete hamukumuona mtumieni mama Samia kijanja
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

    Nafasi haitoshii
  12. B

    JamiiForums Tanzania Cocacola wamefunga free Wi-Fi kituo cha daladala Mbezi mwisho

    Yaaan kila kitu daaaar ndo maana foleni haziishi,hapa mafuriko,hapa joto,hapa daladala,hapa mwendokasi, hapa tren, ukisogea huku bahari, pale ikulu,mbele kidogo bwabwa hilo plus wahaya poa,leo tena wifi Huyo tena bure na tecno yangu naamia dar huku mbeya sijui lini coca wataweka
  13. B

    JamiiForums Tanzania How to root tecno c9

    Toen Maelezo bac
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe umeajiriwa au kiongozi huna haki kuwaambia wasio na ajira wajiajiri

    Hadhi gan unazungumzia kupata shikamooo mtaan au tunaangalia pesa mfukoni kwa mfano kada za chini kama ualimu private wanapata pesa ndefu zingine chini ya serikali ni uwajibikaji wako tuu
Back
Top Bottom