Lakini ana watoto wawili, na nimekaa nae miezi minne lakini sikuwahi kujua kama ana watoto,
Nimekuja kujua kama ana watoto baada ya mtoto wake kuugua na kuhitaji msaada wangu kwaajili ya matibabu,
Upendo umepungua from higher to lower point,
Naomba kuwasilisha ushauri wenu ni muhimu wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.