bhabha bhuhemba
Member
- Dec 6, 2017
- 14
- 7
HapanaWe hujawahi kucheouka dada
hahahahahahahahahahahhaMambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.
oa au olewa kwanza halafu njoo uulize tena hili swaliHabari zenu wana JF
Naomba tujadili kwa kina kuhusu faida na hasara za mwanaume au mwanamke aliye kwenye ndoa kuchepuka
Alisahau uzinzi ni dhambi kwa MunguSafi sana umeelezea vizuri