Recent content by BF SUMA LIMITED

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kisukari wazidi kutesa nchi za kipato cha chini na kati

    •Unamfahamu Mgonjwa Anayeumwa KISUKARI?? •Awe Ndugu yako, Rafiki, Jirani, Mme/Mke wako Au Jamaa Yako??? •Je, Unajua Kuwa Yupo Kwenye Wakati Mgumu Kiakili, Kisaikolojia, Kiafya nk, Na Amekata Tamaa Kutokana Na Tetesi au Majibu Kuwa hawezi Kupona Kabisa Ugonjwa Wake? •Unaonaje Kama, Ukimpa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Uwingi wa damu mwilini

    Nenda Aghakhan Ocean Road
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kiuno kinanitesa, napata maumivu makali

    Pole Sana Kwa Changamoto yako ya viungo na Mifupa. Ushauri Wangu. Naomba Ufanye Uchunguzi wa Kitaalam ili kubaini Tatizo, hii itakuwa njia rahisi ili Kupata matibabu sahihi, BF SUMA tunavyo virutubisho lishe kwaajili ya matibabu kwa Changamoto yako. 1•ArthroXtra; Hii itakusaidia kuhuisha...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Watoto wa Diamond Dar ni kufuru, Zari akataa kutumia ndege, awakodia helkopta

    Sijui kwa nini baada ya kusoma huu uzi nikamkumbuka Kobe Bryant... #GodForbid..
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kauli ya WHO na maono ya Rais Magufuli kuhusu kuizoea Corona naomba shule na vyuo vifunguliwe

    Kama kukariri darasa wacha akariri tu, ila sitokaa nimruhusu kwenda shule katika mazingira ambayo sitoweza kuyamudu. je umezifikiria familia ambazo hata mlo mmoja kwa siku ni shida afu useme wamudu gharama za hizo mask na gloves? bado hujanishawishi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sijui kama nilikosea kwa kufikia conclusion hii

    huyu nyambizi korona si wa kumbeza hata kidogo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi katika kuwazika wanaokufa kipindi hiki!

    Anaiona kama kauli nyepesi, ngoja yaje yamfike shingoni au ndugu yake wa karibu ili naye asikie uchungu wanaoupata wale ambao ndugu zao wamezikwa huko anakokuita porini
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Wahaya siku hizi yanazidi sherehe!!

  9. B

    JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Wako karantini
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

    Ni sawa na mchawi anayekazana kukuroga kila siku lakini haurogeki, anachukia sana...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Pray for Italy and Iran

    anza kuwafatilia utajua wapi walipomkosea Muumba wao. Hali ni mbaya
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza pata matibabu ya OZONE hapa nchini?

    Ndio maana alikuwa anatafuta hii tiba... Jamani mbona wako watu wenye HIV na wanaishi. Je angekuwa na saratani? anyway yeye anajua mwenyewe
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kiuno kinanitesa, napata maumivu makali

    Yes iam, Karibu tukuhudimie.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya mashine ya kupima sukari

    Karibu tukuhudumie, Karibu inbox
Back
Top Bottom