Corona Virus: Pray for Italy and Iran

Corona Virus: Pray for Italy and Iran

Hii sijui inaukweli kiasi gani
IMG-20200321-WA0000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran badala ya kupambana na corona wapo bize kumtishia mmarekani juu ya kulipa kisasi
Nchi ambayo imepata pigo kwa ugonjwa wa Corona basi Italia ni nchi ya kuhurumia

Ungawa nchi mbalimbali duniani wanajitahidi kupambana na huo ugonjwa ila kwa Italia Mungu isaidie ,watu wanakufa kama kuku

Italy ni nchi iliyoendelea kiuchumi lakini bwana,asikwambie mtu,pamoja siku za mwanzoni kukimbiza sanamu ya Bikira Maria kuzunguka nchi ya Italia lakini imeshindikana,kila dakika mtu anakufa kwa Covid 19

Kuna nchi inaitwa Iran ni masikini jeuri ambaye hataki kuwa wazi katika visa vya Corona lakini jumuiya ya Kimataifa isipoingilia kati Iran itateketea vibaya mno

Matamshi ya Trump kwa China yazingatiwe kuwa ugonjwa ulipokuwa unaanza China ilikuwa inaficha ficha badala ya kuweka wazi ili dunia ijiandae kupambana nao sasa hasara,vifo China alaumiwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom