Recent content by beyuke

  1. beyuke

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umeme umefika kwetu kilakala kongowe ila baadhi ya mitaa aijawekwa nguzo za kusambaza umeme wakati makadi tulishalipa kabla umeme kufika shida nini. Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
  2. beyuke

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha ITV na Mzee Mengi kupiga kimya hoja ya Makonda ni darasa tosha

    Manji vipi Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
  3. beyuke

    JamiiForums Tanzania Mcheza Mpira Victor Wanyama, apewa jina la mtaa jiji Dar, Meya atoa ufafanuzi

    Harafu wakisema mlima kilimanjaro wao tunakasirika kama tunawapa mitaa kirahisi rahisi namna hiyo kisa kashiriki ndondo cup inabidi tujiongeze sana unamfagilia WANYAMA kuliko SAMATTA inauma sana.
  4. beyuke

    JamiiForums Tanzania Hili basi ndo wamepewa serengeti boys-bendera ya Tanzania iko wapi?

    Huu ni uonevu kabisa wenye mamlaka wafatilie kama ni kweli
  5. beyuke

    JamiiForums Tanzania GSM ni kampuni ya nani? Ina nguvu kiasi gani kwenye siasa za Tanzania?

    Kampeni yao na moi ya upasuaji mbona ilifanyika ktk mikoa mingi sio DSM Pekee tuache ushabiki.
  6. beyuke

    JamiiForums Tanzania TID amtembelea RC Makonda nyumbani kwake

    Ongera tid
  7. beyuke

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa chuo kikuu Ardhi wapata ajali ya gari

    Mungu awafanyie wepesi wapone haraka
  8. beyuke

    JamiiForums Tanzania Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Sio kawarahisishia kazi humo gerezani
  9. beyuke

    JamiiForums Tanzania Waziri Muhongo aipiga 'stop' EWURA kupandisha bei(mpya) ya Umeme

    Ongera mh waziri kwa kuwajalia wananchi mana nahisi hata bei ya bidhaa zingepanda
  10. beyuke

    JamiiForums Tanzania Dereva wa lori atoroka na shehena ya korosho huko Mtwara

    Korosho dili sasa
  11. beyuke

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyepandikizwa betri moyoni afariki dunia

    Mungu amlaze mahari pema peponi amin
  12. beyuke

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki, HESLB rudisheni pesa za Diploma Holders.

    Ujumbe umewafikia
  13. beyuke

    JamiiForums Tanzania Mtihani mwema kidato cha nne

    Malizeni salama muingia kidato cha tano na kumaliza cha sita mkutane na mitihani ya bodi ya mikopo.
  14. beyuke

    JamiiForums Tanzania Picha; Mwanaume wa Kanda ya ziwa awadhibiti panya road

    Pole na ongera kwa mapambano
Back
Top Bottom