Recent content by betting machine

  1. betting machine

    JamiiForums Tanzania Namkamataje dereva wa lorry la Mohammed Enterprises TanzaniaLimited (METL)aliefanya wizi kukimbia? Msaada

    Report kituo cha polisi pia sambaza taarifa kwenye magroup ya mallorca Instagram na Facebook
  2. betting machine

    JamiiForums Tanzania Break pumba

    Bahati mbaya sina nguvu za kiumeni
  3. betting machine

    JamiiForums Tanzania Alhamdulilah naenda kuanza maisha mapya kwaheri ubachela

    Usioe kama sio bikra nakutaarifu
  4. betting machine

    JamiiForums Tanzania YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

    Mzee usikariri ulishatumia Huawei?? Kuna kipindi nilitumia huawei p30 pro na nilikua na iPhone latest niwe mkweli huawei ilikua nzuri mara kumi zaidi ya hio iPhone
  5. betting machine

    JamiiForums Tanzania Gen Z watangaza maandamano makubwa 29/10/2026

    ***** jaribu muone mpate cha moto mbona mara ya mwisho hamkujitokeza
  6. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    Mara ya mwisho nilijichua ambapo ni kama siku moja kabla ya hio siku ya mechi
  7. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    Demu mpya huyu alafu tupo kishkaji sana
  8. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    Mungu akubariki
  9. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    Hapana hio hospitali inaaminika sana na ndio maana nikaenda moja kwa moja huko na hicho kipimo nimepewa kwenye hospitali mbili tofauti
  10. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    Kg 50
  11. betting machine

    JamiiForums Tanzania Nimetuma takriban sekunde 10 kwenye tendo

    Habari, jana nilisema nitesti kama nimeanza kupona tatizo langu (nguvu za kiume) , ila cha ajabu mashine ilikua ndogo sana imelegea na baada ya kuzama ndani nilidumu kama sekunde 10 pekee nikamwaga na hamu kuisha mara moja, nilijisikia vibaya sana nikamdanganya mwenza kua nmefanya sana hiyo...
  12. betting machine

    JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya swala langu la ukosefu wa nguvu za kiume

    Je kama glands zinazotengeneza hormones zimekufa
  13. betting machine

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunià kutoka Tanzania

    Mbona marekani watu zaidi ya 400 mil na matokeo ni less than 24 hrs
  14. betting machine

    JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya swala langu la ukosefu wa nguvu za kiume

    Je low level ya testerone inasababisha kuwahi kumwaga?
Back
Top Bottom