Recent content by Bethsheba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Range rover ya Lady Jaydee

    safi sana komando Jd wale wambea wa jahaziii kazi wanayo wapiga domo wa radio mawingu watachelewa sana kupata kitu kama hicho. Big up mdada i salute u#team anaconda#
  2. B

    JamiiForums Tanzania Selection za TCU third round

    POLE SNA MKOPO KWA TANZANIA IMEJAA UFISADII UMEKOSA MKOPO ILA CHUO NI ARUSHA HONGERAAAA The student with Index number 'S1529.0037.2010' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi hii bodi ya mikopo wana maana gani?

    pole sana ndugu yangu kwanza hata mimi najiuliza hawa bodi ya mikopo Tanzania ipo kwa jaili ya kina nani?kama sisi watoto wa masikini tunaomaliza shule za kata tunapata shida namna hii kweli. mimi hapa nimechaguliwa mzumbe sina baba wala mama na nimeweka viambatanisho vyote lakini hata meal...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mangula, Msekwa wampinga Nape mgogoro Bukoba,mgogoro sasa wahamia CCM Taifa

    Mimi mgeni hapa napita tu jamanii
  5. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yageuka 'bubu' sakata la Ponda; huu ni usaliti!

    Wanafiki wapo wengi kweli hata hawajui kweli wtz tunapenda sna story kuliko kazi
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yageuka 'bubu' sakata la Ponda; huu ni usaliti!

    huyu ameshindwa kutambua na inaonekanika maetumiwa na magamba kwani hujui heche mwenyekiti wa baraza la vijana la CDM ALIKWENDA KUMSALIMU JUZI MOI WACHA KULETA HADITHI ZA KUFIKIRIKA HAPA LETA MADA ZA MAANA MJUMBE. WEWE NDIO WALE WALE WALE TU WAPIGENI NDIUO KAULI YENUI MANA MAGAMBA YAMEANZA...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananitesa jamani

    pole sna ndugu yangu hilo ndio tatizo letu wadada tukisha penda ndio basii huyo kapata mwingine piga moyo konde wangu atarudi mwenyewe huyo tu
  8. B

    JamiiForums Tanzania NCCR Yakunjua makucha yake: Mbatia akerwa na Red Brigade ya CHADEMA

    baang baang hoja imepita huyo kwani mpinzani anajipendekeza bora hizo pesa angenitahidi kurudisha heshima ya chama na kujitahidi kukijenga kuanzia shina
  9. B

    JamiiForums Tanzania NCCR Yakunjua makucha yake: Mbatia akerwa na Red Brigade ya CHADEMA

    mm ni mgeni napita hapa ila ukweli utabaki kuwa ukweli huwezi kuwatumikia mabwana wawiliii..........anzisha na wewe guard ya nccr mbatia shame on your
  10. B

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI ARUSHA:CCM tutashindwa kwa aibu kubwa.

    kuwa na fikra Acha kuendekeza ukabila. Karne hii ni kuongele ukabila mjinga na mwenye ufinyu wa fikra ndio anaongela mambo hayo mbwida wewe. Jitambue ukiwa kama kijana na upende kujiheshimu si kila mtu akileta jambo atakuwa mchaga au CDM Kuna watu hawapendi ujinga na ukweli unauma siku zote na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI ARUSHA:CCM tutashindwa kwa aibu kubwa.

    naona unaota mchana tena jua kali go to hell with capital letters. Maandazi wewe hujui ulinenalo njaa inakusumbua. Mtapigana lakini ipo nguvu ya umma mtanyanyasa sana lakini." Tunaanza na Mungu na kumaliza na Mungu"
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na magari

    naunga mkono hoja dada huwa hatuitaji kero daladala sina boa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

    Kama ni mzuri mzuri tu hakuna
Back
Top Bottom