Recent content by bernwa

  1. bernwa

    JamiiForums Usiku wa manane

    00:18
  2. bernwa

    Fursa kwenye sekta ya elimu. Walimu tunakwama wapi kutengeneza hela kubwa?

    Ninaamini mwalimu ni mtu mkubwa NA mwenye kuweza kuleta mabadiliko ndani ya jamii ila kuna kasumba moja ambayo tunayo na hii ndiyo imekuwa msiba wa kuweza kutuzuia kufikia malengo tunayoyahitaji Ushirikiano duni miongoni mwetu yaani mmoja anaweza kuja na wazo la biashara zuri kabisa na...
  3. bernwa

    Betting Vs Forex Trading

    Mkuu naomba unipe somo kuhusu forex
  4. bernwa

    Siku 28 nilizokuwa katika sayari ya Nibiru

    Noted sir Niburi[emoji362][emoji362]
  5. bernwa

    Uchokozi wa Edo: Roho mbaya ya kushangaa mishahara mikubwa ipo

    Unaweza ukafanya kitu ukajiona uko sahihi lakini baadae ukitafakuri unajiona kuwa si la kiuungwana Na mbaya zaidi tuhitaji kupeleka siasa hali ya kuwa haya mambo ndivyo yalivyo
  6. bernwa

    Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Mtoa mada uko sahihi na ninakupongeza coz umetumia vitu vya kawaida sana kiasi kwamba hata mtoto anaweza akauona Ukuu wa Mungu
  7. bernwa

    Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Mtoa mada uko sahihi na ninakupongeza coz umetumia vitu vya kawaida sana kiasi kwamba hata mtoto anaweza akauona Ukuu wa Mungu
  8. bernwa

    Ikiwa mwenye haki akiokoka kwa shida, yule asiyemcha Mungu na mwenye dhambi ataonekana wapi?

    IKIWA MWENYE HAKI AKIOKOKA KWA SHIDA, MWENYE DHAMBI ATAONEKANA WAPI? Siku ile unapofanyika kuwa mtoto wa Mungu, yaani siku ile unayotubu kwa kuamua kabisa kuyasalimisha maisha yako kwa Bwana Yesu, siku ambayo unageuka na kusema maisha yangu sasa ni kwa Bwana, ya kale yamepita. Na ukazingatia...
  9. bernwa

    MANA ILIYOSHUSHWA KUTOKA MBINGUNI.

    MANA ILIYOSHUSHWA KUTOKA MBINGUNI. Katika agano la kale, wakati wana wa Israeli wakiwa safarini kuelekea nchi ya ahadi, walioahidiwa na Mungu mwenyezi, tunaona Bwana Mungu, alijua shida iliyokuwa mbele yao kwamba watapita katika nchi ya jangwa isiyokuwa na kitu, isiyokuwa na kupanda wala...
  10. bernwa

    Fashion! Ni dhambi kwa binti za Mungu

    Hapana haijawa hivyo ila igumu ni sisi kumgeukia Mungu
  11. bernwa

    Ipi ni adhabu kali na tosha kati ya hizi mbili kwa Mtu ambaye amekukosea au ni Adui yako mkubwa?

    Kumpenda na kisha kumuombea mtu huyo Mithali:24.17 Usifurahi, adui yako aangukapo; Wala moyo wako usishangilie ajikwaapo; 18 Bwana asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake. 19 Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya; Wala usiwahusudu wabaya;
  12. bernwa

    Fashion! Ni dhambi kwa binti za Mungu

    [emoji120] [emoji120]
Back
Top Bottom