Recent content by Berbadetha

  1. Berbadetha

    Ikiwa kubana matumizi ni kufuta posho kwa watumishi wa umma, futeni na posho za askari

    Usiongee kitu kama hukijui sawasawa, haiwezekani kuainisha majukumu yote ya vyombo vya ulinzi na usalama kama matangazo ya biashara kwa sababu za kiusalama.Ukitaka kufahamu zaid tafuta wasemaji wa vyombo husika wakueleweshe na sio kuropoka.
  2. Berbadetha

    Ikiwa kubana matumizi ni kufuta posho kwa watumishi wa umma, futeni na posho za askari

    Angalia mazingira ya utendaji wao ndo tofauti ilipo.Daktari anafanya kazi kwenye mazingira salama zaidi kuliko hao walinzi wa Taifa ambao wana majukumu lukuki ikiwa ni pamoja na kuilinda mipaka ya Nchi,kutulinda mimi na wewe na mali zetu.
  3. Berbadetha

    Ikiwa kubana matumizi ni kufuta posho kwa watumishi wa umma, futeni na posho za askari

    Nina wasiwasi na elimu yako.Pia kama hujui kitu bora upite mbona sio lazima kuchangia kila uzi.
  4. Berbadetha

    Msaada wa Imani

    NDIO ZINA NGUVU SAWA.Over
  5. Berbadetha

    Msaada wa Imani

    MUDA UTATUJULISHA.
  6. Berbadetha

    Msaada wa Imani

    Soma warumi 10:9
  7. Berbadetha

    Msaada wa Imani

    Hii haitaji akili isipokuwa Kumkiri Yesu Kristo kwa kinywa chako kuwa ni Bwana na kuamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua katika wafu utaokoka.Baada ya hapo utapokea nguvu ya Roho mtakatifu Yeye atakujulisha na kukutia katika kweli yote.
  8. Berbadetha

    Msaada wa Imani

    Unabisha kwasababu humtambui Roho mtakatifu na kazi zake.Biblia inasema wote wanaoongozwa na Roho ndio wana wa Mungu.
  9. Berbadetha

    Msaada wa Imani

    Dr hiyo maana yake ni kwamba Yesu alikuwepo kabla ya uumbaji.Ukisoma kitabu cha Yohana 1:1-5,Yohana 17:5
  10. Berbadetha

    Zijue pete zenye utajiri wa ajabu

    Ngoja waje walio tayari kuuza nafsi zao kwa mashetani kisa pesa.Angalizo kwa shetani hakuna cha bure sema mtoa mada hajaweka wazi hayo masharti ni pamoja na kutoa kafara mtu mwenye uhusiano wa karibu na wewe mfano mzazi au mtoto.
  11. Berbadetha

    Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

    Mkuu swala la Dunia kuwa na uovu ni maamuzi ya mwanadamu mwenyewe sababu Mungu alitupa utaratibu wa namna ya kuishi lakini sisi tumeikataa sheria yake na kumbuka kuwa Mungu ni wa haki.
  12. Berbadetha

    Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

    MUNGU wetu sisi anajipigania mwenyewe na ndio maana alisema kisasi ni juu yake Mwenyewe.Kwahiyo hata leo mtu awaye Yeyote aseme vibaya atakavyo juu ya Yesu ,mtu aliyeamini hawezi kubishana au kugombana na mtu huyo sababu maandiko matakatifu yamekwisha kutueleza cha kufanya.
  13. Berbadetha

    Asante sana Shekhe wa Dar es Salaam! Mokiwa Umenishtua.

    Ingawa sijaisikiliza hiyo taarifa lakini huwa namkubali sana huyu shekhe.Mungu ameweka ndani yake hekima ya ajabu sana.Mungu ambariki sana.
  14. Berbadetha

    Legacy ya Rais Ali Hassan Mwinyi (91 years) ni nini?

    Kiukweli kipindi cha Mzee RUKSA" maisha yalikuwa mazuri,kwakuwa pesa ilikuwa inapatikana kwa urahisi sana pia Huduma za kijamii zilikuwa si haba.Tuliosoma kipindi kile tulikuwa na uwezo wa kujinunulia japo madftari kwani yaliuzwa senti tano kwa yale ya mistari mikubwa na yale ya mistari midogo...
  15. Berbadetha

    Mkasa mzima kutenguliwa kwa Mkurugenzi wa NIMR

    Kosa ni Yeye kutoa taarifa badala ya wizara au kutoa takwimu za utafiti.Wanajamvi naomba mnieleweshe.
Back
Top Bottom