Zijue pete zenye utajiri wa ajabu

so lengo la mada yako nini ikiwa huwezi kueleza kila kitu? je ni kwamba watu wanaotaka kujua zaidi waku pm ili uwaunganishe? achana na ndoto za alinecha , hakuna njia ya short cute kwenye maisha , jipange , bana matuzi, fanya kazi kwa bidii, jitahidi kuogeza kipato kila itwapo leo but not kwa upuuuzi huu wa pete.
 
Ngoja waje walio tayari kuuza nafsi zao kwa mashetani kisa pesa.Angalizo kwa shetani hakuna cha bure sema mtoa mada hajaweka wazi hayo masharti ni pamoja na kutoa kafara mtu mwenye uhusiano wa karibu na wewe mfano mzazi au mtoto.
 
Back
Top Bottom