Mkasa mzima kutenguliwa kwa Mkurugenzi wa NIMR

Ambacho sikielewi...hivi kweli hilo kosa alilolifanya linahalalisha kufukuzwa kazi?

Hakuweza kupewa onyo tu la kiofisi kwamba 'hapa umechemsha, usirudie tena'?

Au labda alikuwa anatafutiwa sababu kwa siku nyingi na fursa ilipojitokeza tu ndo ikawa mwisho wake?
Haya mi hapo najaribu kuunga dots kwani kuna watu walishajichanganyaga kwa kusema dawa zipo na wengine wakadai hazipo lkn ilipigwa kimyaa....vilevile mama na mwana kutenguliwa mmmmhhh kwangu inanipa ukakasi kwa bi dada ummy na mkulu kuna nini
 
Unapochangia uwe mwangalifu
kwa hiyo mumetayarisha vinsandarausi kwenda kunikunja na kunianisha na mawe itabidi mutfute ya kilo mia mbili ili mukinizamisha nisije nikaelea this is our country tuchangie tuu tuboreshe nchi yetu hatuna pengine watawala wana mahera yetu ya kodi wataondoka sisi tupo usiwe na hofu nipo jukwaani ndio kwanza kumekucha
 
Ukisoma kuhusu ZIKA utafahamu kuwa ugonjwa huo ulivumbuliwa Uganda na muda mfupi baadae Tanganyika katika miaka ya 50s.

Kwa hiyo kama haujafanya tafiti za kina unaweza ukakumbana na "traces" za ugonjwa huo ukadhani kuwa ni ugonjwa wenyewe, hususan ukichukulia kuwa walikuwa wanatumia vipimia ambavyo havijawahi kutumika hapo swali.

Hata kama upo, tafiti zina "procedures" zake za kuhakiki na namna zake za kuwakilisha na hatua zake za kuchukuwa kabla hazijatangazwa Kimataifa.

Huyo Mwale hakuwa sahihi kabisa na nashangaa sana mtu kama huyo kuweza kupewa wadhifa kama huo. She is simply bogus, ZIKA iwepo au isiwepo.
siasaaa walimwingiza chaka wanaompinga
dkjpm
 
Wanaosema kuwa Mwele alikiuka taratibu za kutoa taarifa ndio maana kafukuzwa ni uongo huyu mama alikuwa anatafutiwa sababu tu, mbona Jenista muhagama alikiuka taratibu za kazi kwa kuteua mgurugenzi wa NSSF wakati sio jukumu lake na kibaya zaidi akateua mtu ambae wala si raia wa nchi lakini mkuu alichofanya ni kumtengua alie teuliwa na Jenista kuendeleaa na nafasi yake?1 Hapa kuna KISASI TU hakuna lingine.
 
kwa hiyo mumetayarisha vinsandarausi kwenda kunikunja na kunianisha na mawe itabidi mutfute ya kilo mia mbili ili mukinizamisha nisije nikaelea this is our country tuchangie tuu tuboreshe nchi yetu hatuna pengine watawala wana mahera yetu ya kodi wataondoka sisi tupo usiwe na hofu nipo jukwaani ndio kwanza kumekucha
Zero brain
 
Kosa ni Yeye kutoa taarifa badala ya wizara au kutoa takwimu za utafiti.Wanajamvi naomba mnieleweshe.
 
Mkuu unaweza kuwa right or false in your statements, in all of those cases... but your best bet kusolve hizo statements using mathematical logic using Converse, Inverse and Contraceptive statements,

Hii kwa kuongezea tu, ni just an hypothesis as inverse of your logical statements, I can create the following statements as well.

A. Labda Dr. Mwele alikua anasubiri an opportunity to get out, then alikua na bifu ya kufukuzwa kwa mama yake kama Mkuu wa Mkoa,

B. Dr. Mwele is a well capable Doctor, then she could seek green pasture somewhere else, then she was within her means, to seek a better employment terms..

C. Dr. Mwele didn't bother dealing with the bullies from his peers, in this case wizara ya Afya, then she is more capable and knowledgeable more than his peers..

D. She couldn't be bothered, she is 50 plus had enough of public office too politicize.

E. She cares a lot about public health, then who cares let her be a rebel...

inahitaji kutafakari sana, kwa climate ya politics za chuki, na personal attacks, sometimes it is hard to get the core of the problem of these political ramifications......

Say whaaaaaaat.You wrote all those mathematical logic to convince us that she is a good doctor.If she were what you wrote about her she would have resigned but she did not.
That shows you the doctor is a politician and to prove that here
45231ec9cd4df79ad4ac2b87e071b7ca.jpg
 
Back
Top Bottom