Recent content by BenMB

  1. BenMB

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kituo cha Polisi Milongo Mwanza

    Nikiwa raia mwema napenda kukujulisha kuwa Kuna klabu ya pombe za kienyeji mita kumi kutoka kituoni kwako, klabu hii ipo katikakati ya Makazi ya watu, na ilipo siyo rasmi, klabu hii inahatarisha afya ya raia kwa mazingira yake machafu, na mkusanyiko ambao pia ni hatari kwa janga hili la Corona...
  2. BenMB

    JamiiForums Tanzania Georgina Mahiga aliyetungiwa wimbo wa “Georgina” ulioimbwa na Marijani Rajabu afariki Dunia

    Kazaliwa 18 Jan 1956 akawa kidato cha pili (2) 1974 ina maana alianza shule akiwa na zaidi ya miaka 10?
  3. BenMB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mama ni mpotoshaji kuhusu masuala ya ndoa. Adhibitiwe

    Bado mnaogea maji ya ndoo?ndipo shida inapokuja,
  4. BenMB

    JamiiForums Tanzania Bashe: Rais Magufuli amekuwa 'frustrated' ndio maana anabadili sheria kila mara Ikulu

    Uonapo mambo haya yakitokea sasa, basi, ujue ule mwisho umekaribia.
  5. BenMB

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Waziri wa Fedha amekiri Serikali ni mufilisi

    Uyaonapo mambo haya yakitokea sasa, basi, ujue ule mwisho umekaribia.
  6. BenMB

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa CCM mkoani Mara sio raia wa Tanzania

    Uyaonapo mambo haya yakitokea sasa, basi ujue ule mwisho umekaribia,
  7. BenMB

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Nani atamwambia rais
  8. BenMB

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Ajira ni waliopewa mkopo kwanza, ili waweze kurudisha mkopo waliopewa na serikali, Ee Mungu sikia kuomba kwetu
  9. BenMB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Kumbe tangazo la Biashara, sio ndani ya Jf,
  10. BenMB

    JamiiForums Tanzania Polepole awaonya wote wanaomtukana Rais Magufuli kwa kisingizio cha kukosoa

    Ee Mungu sikia kuomba kwetu,
  11. BenMB

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

    T Tutumie mawese
  12. BenMB

    JamiiForums Tanzania Natumiwa jf app

    Nipe jibu
  13. BenMB

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuita mtu kila Jua linapozama na linapochomoza

  14. BenMB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Remove sex from a relationship, women have nothing to offer. Is it true?'

    Huo ndio ukweli mkuu we ni mgunduzi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom