Recent content by benlouren

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Saudi Arabia imejenga hoteli kubwa kuliko zote duniani

    hahahaaa hujui ulisemalo.....!!
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu baamedi ananipenda kweli?

    Usisahau wazinzi mwisho wao ni katka ziwa liwakalo moto......!! Shauli yako katubu umrudie Mungu bado anakupenda na wala co huyo baamed.
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Alaaniwe aziniye na ndugu yake....!!! Co maneno yang bal ni maneno ya maandiko matakatifu. Kifup hapo shetan anajidhihilisha yeye na kaz zake kupitia kifumgo icho cha uzinzi na nduguyo. Fanya toba uombe msamaha fanya misa na ibada za kuvunja hii laana na kisha mpokee Yesu Kristo kama Bwana na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukumata wezi!!

    soon wataiiba hata hii thread......!!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mzazi Aliyefaulu Vs Mzazi Aliyefeli

    Hahahaa ila kunakaukwer ndan yake asee........!!
  6. B

    JamiiForums Tanzania HEBU CHEKA KIDOGO KUHUSU MCHAGA

    Hahahaaaa aya bhana
  7. B

    JamiiForums Tanzania Punguza stress na hii mbinu ya ajabu ya jogoo

    Hahahaaa nmeipenda asee
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sheikh Musa Alhad akiwa katika misa kanisani

    Aongozwe na sala ya toba tuu make inaonekana kakuelewa huko.....!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha mfungaji bora ligi kuu Tanzania, ni kweli ni cha dhahabu?

    aaaaaaa huwez kuona kabisa chuma ilo et dhahabu gan inafanana ivo??
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

    kuchanganikiwa kunaanzaga ivi........!!! mumuangalie sana huyu jamaa hajui k2 na ana mix mafaili alipo popote mumkamate asije akawatoloka huyu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya kidato cha 6

    jaribu omba UDSM coz omba BAHM bacherol of arts in heritage management mwenyew nasoma hio apa ud ni nzur kias chake bt ts better ukaifaham vzur kwanza
  12. B

    JamiiForums Tanzania Shikamooo baridi

    hii iringa bila shaka
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nani mkali?

    hamna jbu apo asee
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkiwamaliza matabibu feki hamieni kwa wahubiri wa uongo

    kabra ya kufanya ivo unavotaka ni lazma kwanza tuhakikishe tumekuombea kwanza na ww.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kikeke ambana Maalim Seif

    acha upumbavu ata ss tumeangalia iyo habar uache ujinga kabisaa hakuna kilicho fanyika hapo kwa kua muuliza na muulizwa maswali wote hawakua wanasikilizana ukome kuleta ushabiki wako apa.
Back
Top Bottom