maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,030
- 1,345
Sasa tunaanza kuona u'seriousness wa serikali ya Magufuli kwa kuwafungia watabibu feki wanaodai wanatibu ukimwi, kansa, kisukari,BP na magonjwa mengine yasiyotibika huku wakiwatapeli wagonjwa pesa zao. Umewshi kuona wapi mzizi mmoja wa mti unatibu magonjwa 100? Uongo mtupu.
Mkiwamaliza hao hamieni kwa wanaohubiri uongo viwanjani kwamba wanatoa mapepo,majini na mashetani huku wakiwatoza wafuasi wao kijanja pesa kupitia sadaka.
Wakitaka kuwaponya wafuasi wao wafanyie shughuli hizo makanisani na misikitini siyo kwenye viwanja vyetu vya umma.