Recent content by benisrael

  1. benisrael

    Third selection is out

    NICHEKIE HII KAKA S0542/0051/2000
  2. benisrael

    Kwa wale wakulima wa mbogamboga hii itawasaidia

    kiukweli kuna aina nyingi tu za nyanya mfono tanya,tengeru97,tengeru 2010,kiboko,meru nk hizi ni aina za nyanya ambazo mbegu zake zimezalishwa kwa mtindo huru (open polinated variety),lakini pia kuna aina zingine ambazo ni chotara (hyrid) kama vile ana fi nk ambazo hukuwa nakufikia zaidi ya mita...
  3. benisrael

    Tahadhari usipige hii namba 0037128405230 ukitumiwa ujumbe

    wenye m pesa ac. mkae chonjo make hawachelewi.
  4. benisrael

    msaada

    jamani naomba msaada wa ushauri nina rafiki wa kalamu kutoka ivory cost,ila kwa sasa yuko kwenye kambi ya wakimbizi senegal baada ya kutokea machafuko na wazazi wake wote kuuwawa, sasa ameniomba nimsaidie kuhamishe fedha za marehemu baba yake kwenda kwenye benki yoyote hapa tz.kwani anadai...
  5. benisrael

    msaada kwemda kusoma nje ya nchi

    jamani mi nina cheti cha diploma ya mambo ya kilimo tena kizuri tu (distintion) ninatamani kwenda kusoma nje ya nchi naomba msaada.
  6. benisrael

    ngozi

    je ni lotion gani nzuri hasa ngozi zenye mafuta mengi,
  7. benisrael

    Utamu na Faida za Tende kwenye mwili wa binadamu

    jamani ni lotion gani nzuri hasa kwa ngozi yenye mafuta mengi
  8. benisrael

    Utamu na Faida za Tende kwenye mwili wa binadamu

    thanks mzizi mkavu MUNGU akubariki
  9. benisrael

    Scholarship kwa Watanzania, Westminster University U.K

    jamani mi nina cheti cha diploma ya mambo ya kilimo tena kizuri tu (distintion) ninatamani kwenda kusoma nje ya nchi naomba msaada.
  10. benisrael

    Umiliki wa Ardhi nisaidieni

    mimi niko arusha na eneo langu liko ndani ya jiji,ninahitaji kupata hati miliki naomba msaada wa ushauri.
  11. benisrael

    Umiliki wa Ardhi nisaidieni

    samahani naomba kujua vitu vya kuzingatia kabla ya kufuhatilia hizo hati miliki ya kimila na ya ardhi kuu (general land),pia taratibu zake kwa ujumla.
Back
Top Bottom