Recent content by benignusmulisa

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaompinga Mpina wanataka Rais abaki madarakani

    Kumbe ni maoni ya ChatGPT😂😂😂😂😂
  2. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Kwa sasa Jeshi ndio liokoe hizi nchi. TISS ya kutilia shaka sana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rostam, Kikwete na Lowassa: Mafisadi nyuma ya mradi wa Richmond

    Mzee wa chenji
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Sina Taarifa ya Warioba kushikiliwa nyumbani kwake, jambo hilo siyo factual

    Mwenyezi Mungu atangulie. Amani ya Bwana iwe nanyi, na rehema za Allah ziwe juu yenu nyote. Katika mahojiano ya moja kwa moja usiku wa leo, aliyekuwa mbunge na mwanasiasa machachari, Mhe. Humphrey Polepole, alipokea swali kutoka kwa mmoja wa Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora). Swali hilo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa hoja za Humphrey Polepole: Sauti ya uzalendo katika enzi ya kupoteza maadili ya kisiasa

    Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, mwingi wa fadhila. Amani ya Bwana iwe pamoja nanyi wapendwa katika Kristo, Assalaam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh kwa ndugu zetu wa Kiislamu. Katika kipindi hiki cha sintofahamu ya kisiasa na changamoto za kijamii, ni muhimu sana kusikiliza sauti...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mwanasiasa Mwenye Maneno Makali Lakini Bila Mkakati Madhubuti wa Kuleta Mageuzi

    Luaga Mpina: Mwanasiasa Mwenye Maneno Makali Lakini Bila Mkakati Madhubuti wa Kuleta Mageuzi Luaga Mpina, aliyewahi kuwa mbunge na Waziri wa Kilimo na Mifugo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibuka tena katika medani ya siasa kwa namna isiyo tarajiwa. Baada ya jina lake kutopitishwa na CCM...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Press za Polepole kwa sasa hazina tija

    Polepole anachosema pale ni No Reforms No Election. Au unataka hadi atamke?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete: Urithi wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama unaoendelea kuiathiri Tanzania

    Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, licha ya kung’atuka madarakani mwaka 2015, anaendelea kuacha alama kubwa zisizoonekana moja kwa moja katika mfumo wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama wa nchi. Kupitia mtandao wake wa wafanyabiashara wakuu kama Rostam...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Hii hapa Kigoma. Hii ni Leo ,👇👇👇Maneno tumewaachia. Ukitaka naya Burundi sema nikuwekee... https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=te77f88nWtY34DOG
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Sisi Kwa sasa atuongei sana. Ni vitendo tu. Hii ni Leo. https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=te77f88nWtY34DOG
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Ukisoma hii tweet utagundua Kenya bado Ina watu walio kosa maarifa. Uganda ujenzi unafanywa na YarpMerkez tena kwa kutumia mfumo wa design and build. Tunavyo ongea ujenzi wakipande kipya kwenda Burundi kutokea Kigoma umeanza. Nakama tunakopa na kujenga bado ni pesa zetu. Anakopesheka mwenye...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Kwenda shule alafu ukakosa maarifa ni kitu kibaya sana. Izo ni behewa za kubeba mixed cargo. Zina viwango vyake kutokana na ubora wa chuma uliotumika. Izo sio container wagons. Ukiambiwa hii Barabara ya tonne 20 haina maana gari ya tonne 15, 10 au 5 haiwezi pita ili mradi isizidishe. Pia nasio...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PDF la oil chafu hili hapa

    Mkuu naweza pata mawasiliano yako ili uweze kuniweka vizuri kwenye hii biashara.
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIP: Picha ya binti mrembo aliyemdunga mchumba wake kisu mara 27

    Video
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hiyo gari ya mjukuu wake Bakhresa
Back
Top Bottom