Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

lol 😂😂🤣
GlnPETzXgAApGce.jpeg
 
huyu jamaa huwa kondoo sana aisee,,, kupotezea watu mda tu 🤣👇
IMG_20250315_201151.jpg
 
Kwenda shule alafu ukakosa maarifa ni kitu kibaya sana. Izo ni behewa za kubeba mixed cargo. Zina viwango vyake kutokana na ubora wa chuma uliotumika. Izo sio container wagons. Ukiambiwa hii Barabara ya tonne 20 haina maana gari ya tonne 15, 10 au 5 haiwezi pita ili mradi isizidishe. Pia nasio kila mzigo utakuwa wa tonne 35 tonne. Na ata container wagons zitakazoletwa zitakuwa tonne axle tofauti tofauti labda 20 ni tonne 20 nyingine 20 tonne 25 nyingine 50 tonne 30 na kuendelea. Tatizo lenu wa Kenya mlienda shule kukalili sio kuelewa. Ata semi trucks uziidiana uwezo wa ubebaji mzigo pamoja na kuwa zinaweza kuwa zinatumia Barabara Moja.
 
Ukisoma hii tweet utagundua Kenya bado Ina watu walio kosa maarifa. Uganda ujenzi unafanywa na YarpMerkez tena kwa kutumia mfumo wa design and build. Tunavyo ongea ujenzi wakipande kipya kwenda Burundi kutokea Kigoma umeanza. Nakama tunakopa na kujenga bado ni pesa zetu. Anakopesheka mwenye mali. Ili reli ifanye angalau faida ilikuwa lazima ifike Dodoma ndo maana ichokipande kilisubiliwa kiishe na ujenzi unaendelea.
 
Kwenda shule alafu ukakosa maarifa ni kitu kibaya sana. Izo ni behewa za kubeba mixed cargo. Zina viwango vyake kutokana na ubora wa chuma uliotumika. Izo sio container wagons. Ukiambiwa hii Barabara ya tonne 20 haina maana gari ya tonne 15, 10 au 5 haiwezi pita ili mradi isizidishe. Pia nasio kila mzigo utakuwa wa tonne 35 tonne. Na ata container wagons zitakazoletwa zitakuwa tonne axle tofauti tofauti labda 20 ni tonne 20 nyingine 20 tonne 25 nyingine 50 tonne 30 na kuendelea. Tatizo lenu wa Kenya mlienda shule kukalili sio kuelewa. Ata semi trucks uziidiana uwezo wa ubebaji mzigo pamoja na kuwa zinaweza kuwa zinatumia Barabara Moja.
umeongea maneno mengi tena kwa uchungu 😂😂😂!
bottom-line, tunataka kuona hapa 35 tonne load axle. usituambie vitu tunajua.
 
Back
Top Bottom