Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,879
- 32,653
Sisi Kwa sasa atuongei sana. Ni vitendo tu. Hii ni Leo.unaanzaje kujenga Kigoma wakati Lots 3,4 na 5 imeshindikana?
so, treni ikifika Mukatupora inamea mabawa au ? 🤣
View attachment 3272168
Hii hapa Kigoma. Hii ni Leo ,👇👇👇Maneno tumewaachia. Ukitaka naya Burundi sema nikuwekee...unaanzaje kujenga Kigoma wakati Lots 3,4 na 5 imeshindikana?
so, treni ikifika Mukatupora inamea mabawa au ? 🤣
View attachment 3272168
Sisi Kwa sasa atuongei sana. Ni vitendo tu. Hii ni Leo.
View: https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=te77f88nWtY34DOG
Hii hapa Kigoma. Hii ni Leo ,👇👇👇Maneno tumewaachia. Ukitaka naya Burundi sema nikuwekee...
View: https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=te77f88nWtY34DOG
Yaani wewe bado tu unaendelea na katabia kako ka kukusanya umbea wa mtandaoni bila aibu😁Halafu akifika Bongo apate kitu kinakwama msituni, hapo ndio atajua hajui 🤣
hata we pia nenda kakusanye 😁😁Yaani wewe bado tu unaendelea na katabia kako ka kukusanya umbea wa mtandaoni bila aibu😁
Sina haja😎hata we pia nenda kakusanye 😁😁
Endelea tu kujifurahisha, sikukatazi😂Wacha nikusaidie... 👇
View attachment 3274390
Kibet is a Kenyan nameWacha nikusaidie... 👇
View attachment 3274390
Wacha nikusaidie... 👇
View attachment 3274390