Recent content by BENETH MENGELE

  1. B

    Mwigulu Nchemba ahitimu masomo yake ya PhD

    Akawasaidie wananchi wa jimbo lake mambo ya chama baadae pia kuvaa skafu muda wote sio kwamba yeye ni mzalendo namba moja hapa Tanzania. Na mshauri aache.
  2. B

    Aliyeshauri ofisi za mabasi ya mwendokasi (UDART) zijengwe Jangwani akamatwe mara moja

    Kutokana na uharibifu wa miundombinu serikali ya mkoa ama uongozi wa kampuni uzihamishe hizo ofisi hapo jangwani. Ni aibu kubwa kwa serikali na taifa letu, kama ni uzembe ulishafanyika, na hii wapembunzi wa mradi walitanguliza rushwa ktk serikali ilo pita. Miaka mingi inajulikana kuwa eneo hilo...
  3. B

    Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Watatulipa ninahajika barick ndiye mkuu. Tuache mambo ya siasa. Kitaeleweka
  4. B

    MAJADILIANO YA MAKINIKIA: Barrick yakubali kulipa Dola Milioni 300 na kugawana faida 50/50 na Serikali ya Tanzania

    Hima tuipongeze serikali yetu chini ya utawala wa Rais wetu Magufuli. Haikuwa kazi nyepesi.
  5. B

    Kama Taifa tunaangamia

    Hivi sasa ile mizizi ya umoja ambayo Baba wa Taifa ali isimika inapotea, kwani kwa kiasi fulani imasababishwa na kule kujidai, kujua kwingi kwa mambo ambayo hayana tija kwa jamii yetu ya kitanzania. Wasomi wengi ambao taifa kwa namna moja au nyingine walisomeshwa kwa kodi za wananchi lakini...
  6. B

    Daraja la Kilombero kuzinduliwa

    Tuipongeze Serikali Yetu ni Maendeleo makubwa
  7. B

    Mjue Nguruwe/Kitimoto: Mnyama mwenye utata zaidi

    Nyama yake ni tamu hadi raha. Vilivyo takaswa na Mungu usiviite najisi. Ni haki yetu kuvitawala
  8. B

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Ubabe ni huu watu watii sheria za nchi nyingine tulizojitungia wenyewe. Angalia amri iliyopo pale Makongo jeshini Tegeta road bustani unavyopendeza au TCRA na kidogo kukaribia Mlimani Vitu. Watu wapite kwenye pundamilia kwa sheria za barabarani.
  9. B

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Naomba nikupongeze kwa kazi nzuri na yenye mafanikio makubwa katika Mkoa wetu unajituma sana. Na taka nikuambie wakati fulani ili mambo yaende vyema ubabe ni muhimu na ukiwa ndani ya haki. Ombi langu kwako ni hili ili kuufanya mji wetu upendeze sauti yko ni muhimu sana. Piga marufuku watu wote...
  10. B

    NBC Tanzania tunaomba mtuwekee huduma ya kuweka fedha kupitia simu

    Kama ni hakika asante sana na mmetutendea haki na ubarikiwe
  11. B

    NBC Tanzania tunaomba mtuwekee huduma ya kuweka fedha kupitia simu

    Banki ya NBC Tanzania ninaomba muondoe kero hii. Hatuna haja kutumia ATM kuweka hela kwenye akaunti. Nataka na ni maoni ya wateja wengi kwanini hamuendi kwa kasi. Tunataka tuweke hela kwenye akaunti kwa njia ya simu kama benki zingine zilivyookoa muda wateja wake. Kutuma hela kwenye akaunti...
  12. B

    Banki ya NBC Tanzania, ondoeni kero hii.

    Ninaomba mtuwezeshe kutuma hela kwenye akaunti kwa njia ya simu na sio kutoa hela kwenye akaunti kwa njia hiyo. Narudia tena kuweka hela kwenye akaunti kwa njia ya simu, kama benki zingine zilivyo okoa muda wateja wake .
  13. B

    Ubabaishaji wa malipo kwa mafundi ujenzi jengo hapo chuo kikuu cha Dar es Salaam

    Kampuni ya ujenzi ya afriq iliyopewa kazi ya ujenzi wa jengo ktk chuo kikuu eneo la utawala haiwalipi mafundi wa kujenga navibarua ambapo Jumamosi ni siku ya malipo lakini ktk hali ambayo haifai hata kuigwa mkandarasi hafai ninaomba uongozi wa chuo kumchukulia hatua ili kukomesha upuuzi huu...
Back
Top Bottom