Ubabaishaji wa malipo kwa mafundi ujenzi jengo hapo chuo kikuu cha Dar es Salaam

Sep 16, 2017
20
8
Kampuni ya ujenzi ya afriq iliyopewa kazi ya ujenzi wa jengo ktk chuo kikuu eneo la utawala haiwalipi mafundi wa kujenga navibarua ambapo Jumamosi ni siku ya malipo lakini ktk hali ambayo haifai hata kuigwa mkandarasi hafai ninaomba uongozi wa chuo kumchukulia hatua ili kukomesha upuuzi huu. Chuo kikuu cha Dar kwa kazi kubwa kama hii muepuke kwa mkandarasi Tapeli au kupita rushwa. Hili ni tatizo kubwa
 
Leo tukisema kila kibarua kuwa na bima na mafao hata haki,kuanzia muajili fukara,baresa na tunao wajua kazi mtaziona hazipo
 
Serikali Yako Inadeal Na Utumishi Wa Umma Pekee Huko Huwa Hawafuatilii Ndo Maana Hampewi Mikataba Na Mnanyonywa Tena Sana
 
Mkuu! Afriq wanajenga jengo gani? Kwanza wana bahati kupata iyo tenda maana UD walishakasirika na wakandarasi wa kibongo baada ya kuboronga ujenzi wa Yombo 4&5! Since then tenda zoote wakawapa wachina!
 
Na hili swala linakera sana, ndiyo mana mimi nashanga viongozi kuimba ujinga mambo ya viwanda wakati hata vilivyopo vinatoa ajira za kimagumashi!!
Hiyo wizara ya kazi na ajira wala sijuhi wanachofanyaga nini!
 
Back
Top Bottom