Recent content by beneli

  1. beneli

    Is the new PSPTB syllabus real?

    Dear Readers, I am one of those who aspire to take a professional course in procurement via Procurement and Supplies Professional and Technicians Board famously known as PSPTB, so i did what anyone with a smartphone and knows how to use it does this days, Google it, the link i found took me...
  2. beneli

    Kwa wanaoijua shato pori (SP) nimeiaplai leo

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  3. beneli

    Memorandum and Articles of association

    Habari wana jukwaa, naomba msaada wa kisheria kuhusu effects ya understated share capital /nominal share katika kustate shareholding in private limited company Mfano unaweza sema the company share capital is 1 M or 120 M, Je kuna mamlaka itataka kujua kuhusu mtaji huo? Au kutaka kuthibitisha...
  4. beneli

    Kwa walimu wazoefu wa uhamisho

    Habari zenu wanajukwaa, naomba msaada kwa walimu ama mtu yeyote mwenye uelewa, kuna kijana alimaliza form two miaka mitatu iliyopita na matatizo ya kifamilia yakamfanya ashindwe kuendelea na shule. Kwa kuwa alikua anasoma shule ya serikali iliyokua mbali na nyumbani gharama zilimzidi na hasa...
  5. beneli

    Naomba kujuzwa wakuu kuhusu mitihani ya CPA,CPB na PSPTB

    Habarini za jioni wakuu, mabibi na mabwana, natumai wote mu wazima baada ya kushereheka na sikukuu ya pasaka. lengo kuu lilonisukuma kuandika swala hili ni ujuzi wa mambo ambao wanajukwaa mmebarikiwa kuwa nao hasa katika kutoa ushauri wa kina katika maswala ya elimu. Wakuu mimi ni mwanafunzi...
  6. beneli

    Wasaidizi wa Seif wapigwa na butwaa

    Online Job for students, housewives, unemployed peoples with income monthly | 3000$ pay any one can join now!
  7. beneli

    Lowassa amtembelea Maalim Seif kumjulia hali

    Online Job for students, housewives, unemployed peoples with income monthly | 3000$ pay any one can join now!
  8. beneli

    Ni muda wa serikali kuongeza "boom"

    more money creates more needs,only two ways of dealing with this , either make some more money on your own or cut your expense column. I in person need more money as we all do, but the sad reality is we do spend alot. Hali ikiwa tete tunaanza kutumia elfu 10 siku 4, boom akija 10,000...
  9. beneli

    Ujazaji fomu ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu 2014!

    maliza hadi mwisho ndipo utapata nafasi ya kurudia taarifa muhimu. Nb. Kuwa makini usikurupuke , hizo ni data ambazo mfumo wa computer inazitumia kujua kama unakopesheka au lah.
  10. beneli

    Boom lini tena ?

    thanx kaka ,nw najua namna ya ku budget..
  11. beneli

    Boom lini tena ?

    mi mgen jaman ,boom awamu ya 4 huwa ni lini kwa wale kaka zangu na dada zangu walio tangulia, maana ni mwendowa chai kwa mikate duh !
  12. beneli

    Chuo gani kinatoa kozi ya Project Planning Management and Community Development

    Community Development Training Institute (CDTI) Tengeru , jaribu hapo.
Back
Top Bottom