Lowassa amtembelea Maalim Seif kumjulia hali

Lowassa amtembelea Maalim Seif kumjulia hali

Safi Sana....hawa ndy wana mabadiliko wa kweli
 
View attachment 329011

Aliyekuwa mgombea wa kiti cha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi, UKAWA, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, leo Machi 11, 2016 amemtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, MMaalim Seif Sharif Hamad kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
View attachment 329012
Maalim Seif kwa sasa anajipumzisha kwenye Hoteli hiyo baada ya kupata nafuu kufuatia kulzazwa kwenye Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam siku tatu zilizopita baada ya kuugua wakati anasafiri kutoka Zanzibar kuja Dar.
View attachment 329014
facial expression na gestures za Maalim zinadhihirisha jinsi anavyomuheshimu Edo. as if yeye ni rais wa Zanzibar na Edo wa JMT.

tofauti kabisa na alivyokutana na akina JPM / Sheni.
 
Namuombea kila la Kheri Mpambanaji huyu Maalim Seif. Honestly, huyu kwangu ni Shujaa wa Upinzani.Napenda misimamo yake na anavyosimamia kile anachoamini hasa kuhusu haki za Wazanzibari.Ni mpambanaji asiyechoka
Unakumbuka ulivyoshiriki kumuita mliberari,CCM "B"..mnafiki mkubwa...lowasa kawafunuwa rangi zenu nilikuwa nasikia tu chadema kuna watembea na sumu ila sasa nimeamini.
 
Back
Top Bottom