Ni muda sasa tangu serikali kupandisha boom kutoka 5000 hadi 7500. Kiasi hiki bado ni kidogo sana kwa maisha ya sasa hasa kutokana na mfumuko wa bei kila kukicha. Kumbuka kiasi hiki ni kwaajili ya meals and accommodation ambayo kiuhalisia hakitoshi kabisa. Mfano tunaosoma DSM vyumba ni bei ghali sana hivyo kupelekea wanafunzi kuishi maisha magumu sana. Ni ombi kwa serikali kulishughulikia sasa kabla hali haijawa mbaya zaidi.
I think they should rise it up to 12,000 per day.
I think they should rise it up to 12,000 per day.