Recent content by bendee

  1. bendee

    Je, msafara wa Rais unaweza kupisha gari la Wagonjwa?

    Ni Zanzibar tuu nimewahi kuona msafara wa Rais ukipisha ambulance ila kwa huku Bara sijawahi kuona hiyo kitu, kwanza niliona Dodoma ambulance ikiwa imebeba mgonjwa inapiga kikora Trafiki akaenda akamwambia dereva apaki pembeni na amute kingora. so sad watendaji wa Rais ndio wagonjwa zaidi, yaani...
  2. bendee

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya anajisikiaje!!

    Wewe utakuwa unashida zako, unanilazimisha niwe mtu ambae sie, au kwakua umeona jamaa amejieleza vyema sasa inakuuma sana kuona watu wanamuunga mkono. Acha wivu wa kijinga kwenye mambo ya msingi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bendee

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya anajisikiaje!!

    Sie kabisa, wala hata simjui wala hatujuani, Kimsingi nimependa uzalendo wake ndugu yangu huyu wa Tanzania Bara, mie kwetu kisiwani Unguja. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bendee

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya anajisikiaje!!

    Big up kijana, najua kuna watakao kuponda kwa ulicho kiandika lkn ukweli utabakia kua huo, wenzetu tumewazidi kwa mengi ila wao ndio wanaonekana wapo juu kutushinda sisi kwasababu ya mikakati yao. Tunae Balozi jina tuu kwa upande wa Kenya, nahisi hana tofauti na yule aliyekuwa anaaga aga tuu...
  5. bendee

    Nimedhulumiwa Makazi yangu na Mtumishi wa Halmashauri ya Singida

    So sad, usiombe ya kukute, kwakweli kuna watu bado wanaendeleza ubabe wakutumia rushwa kuwadhulumu wenzao. So far ni haki yako endelea kupambana na muweke Mungu mbele, dhulma haijawahi kushinda haki. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bendee

    RC Makonda: Tayari ninayo majina zaidi ya 100 ya mashoga, kamata kamata ya mashoga kuanza hivi karibuni

    Natumai muwazima wanajamvi JF. Niende kwenye mada moja kwa moja. kunakipindi niliwahi kupost kuhusu watanzania waache kushabikia vitendo vya kishoga.Ipo katika post zangu ila sina utaalamu wakuihamisha na kuiunganisha na post hii. Nionavyo mimi nikwamba hawa wasanii ambao tunashindwa kuwasimamia...
  7. bendee

    Nisomeee bachelor degree Tanzania au Indonesia

    Kama nimekuelewa vizuri ndugu yangu ni kwamba ndio kwanza upo mwaka wa kwanza hapo UD na course unayo ichukua ni ya miaka mitatu na umepata scholarship ya kwenda nje miaka 4 tena ktk nchi ambayo ulishawahi kwenda na ukaishi for 6 months. Ushauri wangu nikwamba andika barua ya kuhairisha masomo...
  8. bendee

    CCM wagumu kuelewa aisee, hivi watu hawa wakoje?

    Hichi "chama cha mademon na maondoleo" hawana hata kimoja wanachokiona wao ni chema katika nchi hii lkn yote hayo nikwakukosa sera dhabiti kuanzia Yule kiongozi was kengeza wa macho na akili mpaka kwa Yule nyumbu anaeiombea serekali iwekewe vikwazo vyote vyakila aina ili hali analia lia ati...
  9. bendee

    Tarehe 26 Aprili kwa Wazanzibar ni siku ya huzuni

    We mleta Uzi we mwenyewe ushajijua kwamba hujielewi kwamba huu popo huu ndege! Ila kwasisi wenye kujielewa wacha tuu tuendelee kuupenda muungano wetu adhimu, muungano wa aina yake usiofanana na miungano mingine duniani. wee endelea kusubiria wenzio wasio jielewa kama wewe muedelee kupovuka humu...
  10. bendee

    Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Kweli lekokobanga nakukubali bro maana ukiachia tuu hiyo stori yako mwenyewe na ulivyokua unapambana na shetani mchonganishi katika Maisha yako. Humu pia kulikua na shwetani wawili Yule shetani @ the List na mwenzie shetwani @ case! Ila naona kama wamefyta until further notice! You are humble...
  11. bendee

    Zijue passports zenye nguvu duniani

    Habarini wakuu. Niende mojakwamoja kwenye mada kama kinavyo eleza kichwa cha habari. Pasi za kusafiria (PASSPORTS) inatambulika kama ufunguo wa kuingilia nchi yeyote duniani. Na ili passport ihesabiwe kwamba inanguvu duniani lazima iwe na sifa tatu (3). Nazo nikamaifatavyo. (1) VISA FREE SCORE...
  12. bendee

    Picha za X video zina uhalisia kwa kiasi gani, au ni kutupotosha tu?

    Mkuu leo umeulizwa swali kubwa kweli. Kwa kweli zamani nilikuwa naamini kwamba zile video nizakweli hadi mwaka moja nipo nje ya nchi ndio nikajakujua kwamba ukweli wake sio waasilimia 100%. Ingawa nikweli wanayoyafanya lkn kuna kurudi rudia kwa sana tuu. Yaani mtu anaweza akapiga bao yaani...
  13. bendee

    Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Mr. Junior pole sana, ila ushauri wangu ni kwamba kama Dini yako inakuruhusu oa mke wa pili nina rafiki yangu aliwahi kukumbwa naishu sawa sawa na yako, yaani wife wake anakubalika kabisa kwenye ukoo ktk tabia njema lkn jamaa alikua hafurahi ndoa yake yaani alikuwa anweza kufika hata wiki 3au...
  14. bendee

    Mara ya kwanza kufika katika jiji la Seoul nchini Korea kusini nikapotea na kupotea

    Lakusoma mpaka saa sita usiku nikweli kabisa tena sio Seoul ni korea yote. La exchange program hilo silijui sina uhakika nalo. La wanafunzi kujiua tena wanafunzi wa high school nikawaida sana na vyuo vikuu ndio usiseme huko kuna kitu wanaita mass suicide. Yaani wanaweza kutengeza group la what's...
  15. bendee

    Mara ya kwanza kufika katika jiji la Seoul nchini Korea kusini nikapotea na kupotea

    Link nimeiandika vibaya labda korea tv walishaifuta au kuitoa. Ila ukiingia YouTube ukiandika " the famous black man in korea" Utaiona video yake
Back
Top Bottom