Recent content by Ben Mugashe

  1. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

    Nchi imegawanyika Matajiri wanampenda Trump na watu wa hali ya chini na waamiaji wengi wako kwa Kamala
  2. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kustaafu rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari baada ya kuhudumu miaka 30. Niko free kujiunga Siasa, nimejiunga CCM na nitagombea Ubunge

    . Heri ya Sikukuu yenu leo.. April 1st... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inawachukulia vipi watanzania ambao wana dharura kama kufiwa wanapotokea nje ya Tanzania?

    Kwa hali ilivyo nchi kama USA.. UK.. Italy hata kama mtu akifiwa na wazazi wake akae tu huko maana anaweza kuja kuzika akaambukiza watu 100 ukawa msiba mkubwa kwa nchi
  4. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania TANZIA: KakaKiiza Amefiwa na Mama Yake

    Mtoa taharifa na Mtolewa taharifa ni Verified User[emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania TANZIA: KakaKiiza Amefiwa na Mama Yake

    Mama wa mwenzetu KakaKiiza leo asubuhi ametwaliwa Katika Hospital ya Muhimbili; Msiba uko Nyumba Kwake; anatarajia kumpumzisha mama yake Mpendwa Bukoba; tumkumbuke katika maombi na sala watakaoweza kufika kuwapa pole familia tunatarajia kwenda Jmosi mchana tuwasiliane Ahsante Ben Mugashe (Mdogo...
  6. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

    Hizi nyuzi zake zilikuwa na viashiria vya kujinyonga kwanini Afande yule wa Tabora hajamkamata? unique vee, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani Plasidia Rugalema

    Pumzika Kwa amani Placia.. Classmet wangu BKB Sec.... Tumeumia sana. Nyakanyasi wanalia.. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Salamu za sikukuu ya Noeli na Mwaka Mpya kwa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

    MB means Mbunge?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Kwanini kituo cha Mawasiliano kinaitwa Simu 2000?

    Eneo lililopo enzi zile lilihitwa UKUTA WA POSTA eneo lote la TCRA, School of Law na upande wa Aghakhan karibu na Petrol station yote ilikuwa mali ya Posta na Simu na miaka ya 2000 huko Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ben Mugashe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

    A Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania We miss u lara1 where are youuuuuuu!!!!

    Yuko mmewe kamficha
  12. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Wakuu, namtafuta Miss Chagga

    Hiyu HoE yuko jana na leo
  13. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 sasa jukwaani

    Rudisha kondoo wa Bwana Kundini.. itapendeza kama tutaharikwa mimi na watumishi wenzangu tuje kusambaza upako
  14. Ben Mugashe

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 sasa jukwaani

    Ngoja waje wanachama wenzio mie nilishazeeka nikawaachia chama natumika na Mdogo wangu Nicas Mtei
Back
Top Bottom