Recent content by Bellyache

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msikilize Taylor Swift

    Taylor Swift, msanii namba moja kwa mauzo 2020/21 Kama unapenda melody nzuri sikiliza nyimbo hizi HUTOJUTIA Cardigan Seven Willow(for girls) tis the damn season Long story short Dorothea Marjorie Coney Island Exile Breath August Champagne problem Mirrorball
  2. B

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji kuhusu mizimu

    basi itoshe kusema kila mtu ana kitu anachokiamini, kuabudu ni matokeo ya kuamini, kwa kua ukiomba mizimu anakupa kwa wakati basi nao wanaoamini katika Mungu(uliesema wa wazungu) anawapa kwa wakati wale wanao muamini. Imani ndio msingi. SWALI: vipi kama lugha ya kiingereza unayotumia/unayosoma...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji kuhusu mizimu

    huabudu mizimu, unaabudu nini?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Una zero ngapi?

    mimi nina ZERO 7 am talking about money
  5. B

    JamiiForums Tanzania Urafiki mkubwa uliodumu kwa miaka 16 leo umegeuka uadui sababu ya Deni

    Nawaza niende kwake (anaishi gheto) Nikusanye kile ki iphone 6+ Na PC Apa deni litabaki kwenye laki 4 hivi Ok let's do it
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    wewe ni yellow beauty😅
  7. B

    JamiiForums Tanzania Fanya haya yatakusaidia

    Yah watu wana mengi na kuna mengi ya kujifunza.Ongea na watu jichanganye fursa zipo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Fanya haya yatakusaidia

    😅😅😅 Ingia kanisani kusali michango waachie wazee wa kanisa. Abudu Mungu ataona kile unacho mfukoni.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Fanya haya yatakusaidia

    Karibu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Fanya haya yatakusaidia

    Uko mtaani maybe huna kazi/umekata tamaa/school dropout na unakosa sehemu ya kuanzia. Unaweza fanya haya yatakusaidia • Tengeneza marafiki wa rika na daraja tofauti. Piga story na watu. • Tafuta chochote kitakacho kuweka busy.Eg kuchora,kuandika,kucheza mpira,msanii andika nyimbo,kusoma vitabu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Way back: From my diary

    • Everyday is the new beginning • Try to lean new thing everyday • Have courage boy/girl • Courage • God • No time for excuses. • Stop thinking and start putting ideas into actions. • Failure is just a chance to learn and grow • Perfection is impossible • When thing go wrong don't go with them...
Back
Top Bottom