Recent content by beleza delgado

  1. beleza delgado

    Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Scotland

    Ukweli mtupu,lkn je magamba watawaachieni zenj yenu?
  2. beleza delgado

    Kampuni ya Tigo kama kazi imewashinda ni bora mkaiuza

    Air tel kwa net ni majanga kuliko 0713
  3. beleza delgado

    Shule inayofundisha kiingereza vizuri

    Miezi mitatu kiac,ipo maeneo gani plz.?
  4. beleza delgado

    Shule inayofundisha kiingereza vizuri

    Ni shule gani hapa Dar wanafundisha Englisha vizuli na kwa haraka.
  5. beleza delgado

    Polisi feki usalama barabarani mbele ya wanahabari

    Duh,bongo kweli kuwa makini
  6. beleza delgado

    Viongozi wa Uamsho wadai polisi waliwafanyia ukatili

    Akuna watu wabaya kama Watanzania,cc ni watu wenye chuki kwenye nafsi zetu,laana za mungu ziwashukie wanaowadhalilisha binaadamu wenzao.ikiwa Cuf ni chama cha Waislam je chama cha makafili ni kipi hapa Tanzania?
  7. beleza delgado

    Nahitaji kujua king'amuzi gani kizuri kwa ajili ya Sports Channels

    Tafadhali nisaidieni na mm,nakuomba ni PM
  8. beleza delgado

    Toto halisi la Kihaya

    Uyo mdada kweli ameumbika,ni mzuri kwa kweli,yupo wapi?
  9. beleza delgado

    Yamenikuta mwanaume nimekutana na mwanamke msagaji akanitenda

    Mwanaume eti analeta mada hii wewe jamaa
  10. beleza delgado

    CCM Yakubali yaishe, Bunge Maalum la Katiba kuahirishwa

    C mpenda CCM lkn kulivunja BUNGE LA KATIBA iyo cfikilii kama inaweza kutokea,7bu ccm wanafanya lile wanalotaka viongozi wao na sio wananchi wao,uhalisia upo hivyo@mtazamo wangu
  11. beleza delgado

    Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    Kafanye uchunguzi na kule Pemba na Unguja itakuwa wapo wengine wamewachoka wabunge wao
  12. beleza delgado

    Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

    Nazjaz wapelekee kule kanisan wanako 0713:D:D:beer::D
  13. beleza delgado

    Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

    Qenuineme na Waitaliano na kwengineko duniani walienda Znz kujifunza kufilaa?
  14. beleza delgado

    Mwanasheria mkuu wa Serikali, Werema aungana na UKAWA

    Jaji werema ameongea maneno mazuli xana lkn niko na wax wax na yeye kwa vile na yeye anaingia kule kwa mzee Six kuchukua posho,kama yuko serios kweli ni bora akae nje ya BM NAPITA njia
  15. beleza delgado

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Heheheeee,van gaal au van rahisi?
Back
Top Bottom