Recent content by BekaNurdin

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hizbullah: Ndege yetu ya upelelezi imeingia na kutoka salama katika ardhi za Palestina zinazokaliwa na Wazayuni

    Kwa hiyo hizo ndege zimeikomboa ardhi ya Palestina? Sasa wapelestina wako huru, makofi tafadhali! 💪💪💪
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

    Wote ambao hawakurudi kushukuru walikuwa wayahudi (jamii yake Yesu). Aliyerudi kushukuru alikuwa msamaria!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Maana yake ni afadhali zama za mwendazake. Waliofurahia kuondoka kwake waendelee kusherehekea basi!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ninaishi kwangu (nimejenga) ila sina furaha

    Ardhi, ardhi, ardhi, ardhi! Najua wengi hamuwezi kunielewa. Mshana Jr msaidie huyu ndugu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

    Siyo kwamba ni wavivu ila wamepewa muda wa kutosha ili wajiandae vizuri kwa uchaguzi wa Rais 2025! Ila kwa uchapakazi Lukuvi was outstanding!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

    Mzazi mwenye IQ zero halafu azae mtoto mwenye IQ 100 au zaidi. Maajabu ya milenia!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ethiopia War update: Hali ni tete kwa waasi

    Safi sana. Operation tokomeza vibaraka wa mabeberu wa kimagharibi!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

    Komando wa ukweli yuko tayari kufa kuliko kudhalilishwa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea my favourite team, siamini kama tumeanza kukata pumzi!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dua la kuku halimpati mwewe!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hii aibu niliyopata, naenda kujifunza Kiingereza

    Kuna jamaa humu aliweka post akisimulia jinsi alivyofedheheka ughaibuni alipoambiwa afungue kikao kwa maombi kwa kiinglishi. Kwa kweli duniani tunapitia changamoto za aina mbalimbali.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Zamani tulikuwa tunaambiwa kwamba komando mmoja anaweza kupiga watu 1,000 kwa mpigo. Sasa nashangaa kusikia komando analia eti alikamatwa kiholela na kuteswa. Ajabu!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Alichofanya Havertz kutoa pasi kwa mfungaji (nadhani ni Mount) aliye kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao ndicho ambacho Odoi alipaswa kufanya siku ya mechi dhidi ya Man United kwa kumpasia Ziyech aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga bao. Uchoyo wa Odoi ulitukosesha bao muhimu.
Back
Top Bottom