Recent content by bejamin

  1. bejamin

    JamiiForums Tanzania Mbowe katuudhi, bora turudi CCM

    Kweli kuna mtu anaweza toka peponi akaenda kuzimu mm siamini hilo
  2. bejamin

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari Rais Magufuli akaingia katika mtego wa ufisadi unaomuhusisha yeye mwenyewe

    Wizara yake pia mdio ilikutwa na mkataba wa makandarasi wawili barabara moja na wote wanalipwa
  3. bejamin

    JamiiForums Tanzania Prof. Baregu: Dhana ya kutumbua majipu ni ya Kienyeji

    Kwakweli nilizani awamu hii ya tano mtaaza japo kufikiri kwa kiwango cha juu kumbe bado mnatumia ubongo wa bata kunywa matope kuoga maji masafi ccm ni shida
  4. bejamin

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aombwa ikibidi alivunje bunge

    Kweli vijana wa ccm mna kazi ya uelewa haya uliyoandika kwenye kikao chenu cha maendeleo ndio mmejadili Sifa ya kwanza kuwa mwana ccm lazima uwe bwege
  5. bejamin

    JamiiForums Tanzania Kutoka TAZARA: Ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) wazinduliwa rasmi

    Hilo nalo hamjawapa wakandarasi wawili mmoja wa mfukoni na mwingine mjenzi wa mfukoni kashalipwa full hata kabla kazi haijaanza kudadadeki viongozi wenza mfalme juha
  6. bejamin

    JamiiForums Tanzania Hatimaye biashara ya Ngono yarejea kama kawaida

    Mabandani vipi nako wamerudi
  7. bejamin

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    Umesema vema maamuzi ya jecha na sio ya wazanzibar
  8. bejamin

    JamiiForums Tanzania Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

    Tahmeed ni nn?
  9. bejamin

    JamiiForums Tanzania Kwa serikali hii ya Magufuli, Vijana tutaisoma namba

    Magufuli huna haja ya kutukamata twambie kazi zilipo tujisalimishe wenyewe na polisi tuwaache wakawezeshe ccm kuwatawala wa znz ka nguvu
  10. bejamin

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Wananchi CUF Kufutiliwa mbali

    Wakati cuf ikifutwa wewe utakuwa unapanguswa
  11. bejamin

    JamiiForums Tanzania Watu 4 watiwa ndani baada kuzomea msafara wa Dr. Shein kisiwani Pemba

    Sasa hao polisi wamewaweka ndani kwa sababu gani na shein mwenyewe ni maisha aliyojichagia kuzomewa
  12. bejamin

    JamiiForums Tanzania Dada yangu kapendeza leo baada ya kurudi salon!

    Anaweka kigogo shingoni kichwa kinaelea
  13. bejamin

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaanza kuchunguza jinsi Waziri Lukuvi alivyokataa rushwa ya bilioni 5

    Sasa uchunguzi hapo wa nn na lukuvi anawajua si awataje kesi iende mahakamani lukuvi akatoe ushahidi Wanatafutiana posho uchunguzi na arusha wataenda kukaa wakati kigamboni iko dar
  14. bejamin

    JamiiForums Tanzania Ni lini Magufuli katangaza hali ya hatari nchini?

    Mtoa mada weka picha uwakate ngebe hao masisiem wanaokomaa kubisha
  15. bejamin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex toys, biashara inayoshamiri kwa kasi

    Wewe ukisikia mwanamke anasema ameshakutana nz za kila aina ndio hizo
Back
Top Bottom