Yamesemwa Jana na Vijana 12 waliokuwa wa CHADEMA Wilaya ya Moshi wakati wakivua Magamba yao kumdhibitia Kaimu katibu mkuu wa UVCCM Taifa, Shaka Hamidu Kuwa wao si majipu wanaomba wanaCCM wawapokee.
"...tulisikia akisema Rais anatekeleza Sera zetu,kweli rais anapambana na ufisadi na kuwasaidia watanzania,wanatoka bungeni kumpinga? Huu ni unafiki kama Mbowe angekuwa na busara angeenda kumuona rais ampe maoni yake si kumtega Rais ,angejataliwa ndio angeuambia umma tujue,tumechoka siasa za ovyo tunarudi CCM kumuunga Mkono Magufuli.."