Si bora ulikua na kamkweche kako, hiyo ni baraka. Mm nlishapata hiyo kadhia natoka Arusha naenda Dar niko na Kilimanjaro nikamuomba dereva asimame niweze kuhara, tena hapo nimembembeleza hata hakua na mpango wa kusimama. Baada sasa ya kusimama, hizo honiii. Jamani unazijua honi za basi kubwa...