Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 1,960
- 2,529
sana yaan.Sanaaaaa ...kuna feelings fulani huwezi zipata kwenye vyoo vya matofali hivi vya kisasa.
Vya kisasa unaenda choon unajsaidia harakaharaka ili watu wasikushangae tena ukiwa ugenin ama ukweni not comfortable kabxa, ukute choo kipo karibu tu