Recent content by Beethoven

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni kipi cha heshima na manufaa wanachokipigania kwa nchi yetu hadi tuwaite mashujaa?

    Huyu kweli ni Fred Mpendazote.Kwani kimemtokea nini au kuna mahali wanafanya overhaul ubongo?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

    Wana hasira hawawezi kujibu hoja kwa vile wameshajiweka kwenye nafasi ya unquestionable and untouchable gvt.Humbleness kwenye kutafakari na kushughulikia mambo haipo tena ndio maana mliona mtu akimiminia mabomu ya machozi walemavu akaona ni sawa tu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ahojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu uchochezi, aachiliwa kwa Dhamana

    Subiri hilo litokee acha mhemko,umesahau pia vipigo alivyokuwa anapewa Slaa ulishangilia pia ila leo unamsifia! Punguza ramli na wishfull thinking,
  4. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Wabunge wetu: "Double Taxation" katika Road License, na Wabunge wanashangilia?

    Mleta mada anayo point muhimu ila naona watu hawataki kufikiri kwa ajili ya mazoea ya kushangilia kila jambo.Labda walioisoma watuambie pia kwa yale magari ambayo kwa muda huu road licence zao bado ziko active and valid mpaka mwakani,Je itakapofika July 2017 wanakatwa road licence kwenye mafuta...
  5. B

    JamiiForums Tanzania MwanaKJJ IJumaa: Kwanini Ni Vigumu Kuamini "Udikteta" Wakisema CHADEMA?

    Hivi huyu ni Mwanakijiji au akili yake imekuwa hacked!!!
  6. B

    JamiiForums Tanzania NEC imeteua Wabunge 3 Viti maalum, CCM 2 na CHADEMA 1

    Alikijenga chama Moshi vijijini hadi kuwezesha kuing'oa CCM.Nadhani kabla ya kulaumu mngejaribu kutafuta upatikanaji viti maalum unafanyikaje,kufikiri ukabila,ukanda,udini n.k ni kujifunga kimawazo.
  7. B

    JamiiForums Tanzania NEC imeteua Wabunge 3 Viti maalum, CCM 2 na CHADEMA 1

    Wameteuliwa watatu naona mnaweweseka na Lucy Owenya tu.Kuipoteza Dar inawapa kichaa?Mlitegemea miujiza gani wakati namba zimekataa?Kuwa mwanaCCM inahitaji upungufu wa akili.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Meya Kinondoni ni Jipu

    Tumia ubongo kufikiri mkuu acha mhemko.Ulitegemea waanze kwa kufukuza watu na mgambo wa jiji kama mlivyozoea!maana hata bajeti unajua bado na kama ujuavyo nyumba ilikuwa na vibaka hata meza za ofisi huenda wameuza?Najua una machungu kuipoteza Dar city kwa ukawa ila tambua hata simba anapowinda...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Meya Kinondoni ni Jipu

    Punguza ujinga na kiherehere.Hivi kwa kutokuwa na meya wa jiji ulitegemea vikao na allocations za rasilimali zilizopo zifanyike vipi?Au unafikiri meya anatumia pesa zake mfukoni kutengeneza barabara!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Obama ni ushahidi tosha, ni kosa kuchanganya Damu!

    Mleta mada anasumbuliwa na exposure na ubaguzi wa rangi ndio maana anasifia rangi nyingine bila facts.Rais au mtu yeyote kusocialize si tatizo.Mkewe alikuwa kwenye hiyo hafla halalamiki wewe wivu wa nini?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Tufahamishe zaidi katiba inaposema au kutaka waziri awe mbunge.Na uwaziri hukoma pale mtu ana.pokua si munge. Inakuwaje waziri aendelee kuwa waziri wakati bunge limevunjwa?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Ramli chonganishi at work!!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Devis Mosha atumia Helkopta kura za Maoni

    Kuiga ni kubaya sana,Kura za maoni ndani ya chama unatumia chopa kwa mji mdogo kama Moshi!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa awapiga bao CHADEMA, walitarajia achukue fomu ili akatwe kama Lowassa kule CCM

    Ramli chonganishi hizi!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Kimsingi propaganda ni nyingi sana wakati huu.Hizi picha zimeungwa.Sakafu alipo Baregu na hiyo alipo Msigwa na picha ya Lowasa ni tofauti.Pili bega la kulia la Salimu Mwalimu limekatwa vilevile bega la Lowassa limekatwa kudhihirisha kipande cha picha ya Lowasa kimeingizwa.
Back
Top Bottom