Anajisumbua tu moshi watu wanataka mabadiliko na wameyaona kwa ndesa na ndesa amemwachia jaffari ni mtu mchapakazi Leo hii utaona mji Wa moshi unamaendeleo jaffari kama meya amefanya mengi yeye ajisumbue tu ccm huu ndio mwisho wao
Moshi hatutaki ubunge Wa kurithishana kwa alichokifanya ndesa kumrithisha jaffari akatupunguza morale ya kuwania kimemnyima ushindi jaffari, moshi tunaitaji mabadiliko kwakuwa tumeyakosa chadema sasa tunaenda kuyatafuta ccm chama ambacho hakijawahi kutawala moshi toka siasa za vyama vingi zianze