Ni kipi cha heshima na manufaa wanachokipigania kwa nchi yetu hadi tuwaite mashujaa?

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
50,308
2,000
Nikuulize kistaarabu tu, kiongozi ambae hafuati katiba katika kuongoza nchi, na wakati aliapa huku ameshika biblia kuitetea katiba hiyo, utamuita jina gani wewe..? Kiongozi ambae anadiriki kusema katiba ikae pembeni kwanza ili ainyoshe nchi, utamuita jina gani..?
Hawezi kukujibu zumbukuku huyo.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,465
2,000
Kanda yao hiyo atapata kitu siku moja!!! Aendelee tu kupayuka maana awamu hii ni yao! Jeshi zima limejaa wao na teuzi zote ni wao! Kuna kitu kinakuja karibuni si bure kuweka kanda moja!!! Tusubiri tuone itakuwaje
 
sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,787
2,000
Nimependa mtoa mada kayasema Yale ya moyoni kupitia reason ambazo kwake kaziona zona umuhimu ila haon wakosoaji hawana reason wamebaki kuzomea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,937
2,000
Mzee wasalimie hapo Sanene Ugombolwa fanya kazi za kujitegemea kwami kipindi ukiwa juu mlikuwa mnashangaa kwa nini hatujiajiri basi na wewe jiajiri kuliko kusubiria teuzi.

Mzee hukujiandaa na kinachoendelea kumbuka hayo ndo maisha ambayo unatakiwa kuyaishi kwani naina unajushushia hadhi yako kwa kujipendekeza kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,371
2,000
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yameandika kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusi na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani. Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal izikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamwekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongozanchi. Kama makongamano yanayofanyika nje ya Nchi yetu wanawaona watu hawa ni mashujaa, ni mashujaa wao siyo mashujaa wa Nchi yetu.

Serikaliya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyoni halali. Hivyo serikaliya JPM siyo ya dikteta.Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali.Hivyo hola hizi hazina mashiko.
Kwa muda mfupi, serikaliya JPM imeonyesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa mwatanzania.

• JPM ameonye sha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.
• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.
• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzaniawengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.
• JPM ameweza kuchua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.
• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.
• JPM anatekeleza vizuri iIlani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongonza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa kwa hatua hizo ? Au kwa hatua hizi mtanzania yupi anagandamizwa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yoyote anayenung’unika kwa hatua hizi zilizochukuliwa naserikal ya JPM nidhahiri uzalendo wake unawalakini na nidhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au ya kukudi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wana mkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA.

Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?
Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa.

Je ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Ushujaa wao ukowapi? Je kukamatwa na kuwe kwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa ?

Je kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa?Hapana. Kama kwenye mikutano au makongamano yanayofanyika nje ya Nchi wanawaita mashujaa ni mashujaa wao siyo mashujaa wetu.

Wanacho kifanya wanachama hawa ni upotoshaji wenye lengo la kuvuruga amani ya Nchi yetu. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuiunge mkono serikaliya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wa marekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye nimsema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano. Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayo mwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi. Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.
Je ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?
Je haiwezekani kudai haki na demokrasia na kutoa maoni na kuikosoa serkali bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki. Tanzania iliisha pata Uhuru wake.

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi. Hata sasa inawezekana kudai haki, kutoa maoni na kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lazima uetete unga maana bila hilo watoto watakufa njaa.Tumbo ni shida kabisa
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987

Endelea kusaka uteuzi!Imekuuma kweli kweli Lissu kukubalika mpaka mataifa ya nje!
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,554
2,000
Huyu kilaza wa kishapu dish limeyumba sio kwa kuanzisha uzi cku za karibuni kila uchwao,ccm wamekupa ajira ya 10000 kila cku ili uandike ujinga wko.
Pambana na hali watoto waende choo subiri 2020 ugombee ubunge dodoma hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Denis denny

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
5,785
2,000
Mlizoea madaraka mambo yamebadilika upo kama mpiga zeze unaembembeleza anaekufanya uende chooni..utakufa na kihoro,fanya kazi kama ambavyo huwa mnahimiza vijana wajiajiri ilihali nyinyi wenyewe mkikosa uongozi mnakuwa kama wendawazimu kwa njaa kali
 
zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,160
2,000
Mi kinachoniput off ni kuwa excessive praise on one side zinaendana na excessive hate of the other side. Too much obsession si afya ni ugonjwa wa akili.
 
Beethoven

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
351
195
Huyu kweli ni Fred Mpendazote.Kwani kimemtokea nini au kuna mahali wanafanya overhaul ubongo?
 
kipuyo

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
1,709
2,000
Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wa marekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia[COLOR=#ff0000 said:
mgombea wa chama cha rebublican ambaye nimsema ovyo[/COLOR], ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano. Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayo mwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi. Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mimi ndo nipo nyuma ama?
Marekani kuna uchaguzi gani tena?
 
Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
13,693
2,000
Yaani anaanzisha mada halafu anatokomea kusikojulikana na kuwaacha watu wanatoana macho. Fred Mpendazoe sijui ni kwa nini unajiita "Uncle" lakini kumbuka kwamba uliwakimbia watu wa Kishapu na kuishi Dar na ulipotaka kugombea Dar watu wa Dar wakakukumbusha ulivyowabwaga watu wa Kishapu, na wao pia wakakubwaga!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom