Ushirikina una madhara makubwa sana ,ushirikina unaangamiza,unasababisha watu kutokwa fahamu, ushirikina unaleta umasikini tofauti na dini bila dini hii amani usingeiona, bila dini kusingekuwa na hofu tungekosa miongozo ,kusingekuwa na mpangalio wa tendo la ndoa,tungeishi tu watu tusingeogopa...