Hawa Ndo Mabondia 50 Bora Zaidi Katika Karne ya 21

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
5,807
2,000
kuhusu Anthony Joshua akiamua kucheza na Pacquiao inawezekana coz mmoja atapanda weight au mwngne atashuka, inategemea na mazingira kwa sababu kuna wapiganaji wengi wamepigana weight tofauti. point ni kwamba unalazimisha waweke mafungu kuwa wenye uzito wa chini, wa kati na wa juu wawekwe kwenye category tofauti, hiyo kitu unaweza ukafanya wewe kwa ubongo wako, ila kwao hiyo list wameona iko sahihi. nilikupa mfano wa kwenye mpira kwa sababu kule huwezi kumshindanisha Roberto Carlos na Zidane kwa sababu walicheza namba tofauti ila inapokuja tuzo ya mchezaji bora (balon d'or) wanagombea pamoja, na hta kwenye list ya wachezaji wakali wa mda wote pia watakuwa pamoja. kwa msaada zaidi pitia kichwa cha habari tena
Swala anapanda uzito akapambane na tembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

shakur kimboka

Senior Member
May 11, 2013
190
500
Ungejua maana ya pound for pound usingebisha.
Pound for pound sio flexibility ya boxer kushuka au kupanda uzito hiyo ndio point yangu,

Ni njia ambayo imewekwa na wadau wa ngumi kujua nani ni bora katika division zote (light to heavyweight) bila ya mabondia kukutana, wao wanaangalia ubora wa mabondia walio kwenye division yako na kutoa tathmimi tu

Afu kama ingekuwa kweli unajua maana yake ungesema hapa ila hujui kitu ndio maana unakimbia kimbia tu na kuandika vitu nusunusu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,349
2,000
Ubora unapimwaje ?maywether hajawahi pigwa ,mywether amempiga pac man halafu leo uniambie pac man bora ,labda fafanua bondia bora philipine au .......?
Mkali wa Ufilipino Manny Pacquiao amepigiwa kura nyingi zaidi kama bondia bora katika karne ya 21 mbele ya mpinzani wake Floyd Mayweather.

Mayweather, ambaye mara nyingi hufikiriwa kuwa mmoja wa Mabondia Bora kwenye historia, alimaliza nyuma ya mwamba wa Ufilipino katika nafasi ya pili.

Wakongwe wa ndondi kama Wladimir Klitschko, Mike Tyson na Lennox Lewis wote majina yao yameingia katika 10 bora.

Na nyota wa sasa kwenye uzani wa juu (Heavyweights) Anthony Joshua, Tyson Fury na Deontay Wilder wameorodheshwa ktk nafasi ya 22, 25 na 27.

Hapa nimeweka mabondia 50 bora wa karne hii: (Source: sportbible.com)

50. Brian Viloria49. David Lemieux

48. Arthur Abraham

47. Kubrat Pulev

46. Naseem Hamed

45. Denis Lebedev

44. Jermain Taylor

43. Tomasz Adamek

42. Marcos Maidana

41. Billy Joe Saunders

40. Kelly Pavlik

39. Guillermo Rigondeaux

38. Mikkel Kessler

37. Alexander Povetkin

36. Oleksandr Usyk

35. Danny Garcia

34. Sergio Martinez

33. Timothy Bradley

32. Julio Cesar Chavez Jr

31. Ricky Hatton

30. Carl Froch

29. Nonito Donaire

28. Amir Khan

27. Roman Gonzalez

26. Deontay Wilder

25. Terence Crawford

24. Tyson Fury

23. Shane Mosley

22. Julio Cesar Chavez

21. Anthony Joshua

20. Erik Morales

19. Marco Antonio Barrera

18. Juan Manuel Marquez

17. Vitali Klitschko

16. Sergey Kovalev

15. Andre Ward

14. Felix Trinidad

13. Vasyl Lomachenko

12. Canelo Alvarez

11. Miguel Cotto

10. Joe Calzaghe

9. Bernard Hopkins

8. Oscar de la Hoya

7. Lennox Lewis

6. Mike Tyson

5. Wladimir Klitschko

4. Roy Jones Jr

3. Gennady Golovkin

2. Floyd Mayweather Jr

1. Manny Pacquiao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
2,471
2,000
Scott Adkin a.k.a YURI BOYKA yko nafasi ya ngapi?

Jamaa anatandina mkono wa kikatili Sana (ila kwenye movie)

Kizibo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom