Recent content by beberu1982

  1. beberu1982

    Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    USHAURI WANGU MM WEKA KIKAO KWA FAMILIA ZOTE MBILI YAKO NA YA MUMEO ILI ULIONGEE HILO SUALA NA WALA USILIFUMBILOE JICHO ILA KAMA MKO KWENYE NDOA KAMA HAMIPO KWENYE NDOA HAPO SASA NDIO UTAAMUWA MWENYEWE UCHUKUE UWAMUZI GANI
  2. beberu1982

    Nimsaidie mama angu au mpenzi Wangu ?

    HATA ANGEKUWA MKEO ILA MAMA NDIO MPANGO MZIMA NDIO KILA KITU
  3. beberu1982

    Ogopa kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye haujawahi kukutana naye kimwili (kufanya mapenzi)

    WANAUME WENGI WAKIKUVUA CHUPI UJUE WANAKUKIMBIA HIYO NDIO TABIA YA WANAUME UKIONA MWANAUME AMEKUVUA CHUPI HALAFU AMEKUOWA UJUE HUYO ANAKUPENDA ILA SIO VIZURI KUFANYA HAYO KABLA YA NDOA
  4. beberu1982

    Ogopa kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambaye haujawahi kukutana naye kimwili (kufanya mapenzi)

    DINI YETU YA KIISLAM IMEKATAZA MAMBO HAYO YA KUZINI KABLA YA NDOA
  5. beberu1982

    Azam Media mmekosa washauri? Punguzeni bei za vifurushi kunusuru bidhaa yenu

    STAR TIME I T V IPO NA HATA NYENGINE LOCAL ZIPO MM PIA NAAGALIA ISPOKUWA AZAM HAWAONESHI ZAIDI YA T B C NA T B C YA ZNZ
  6. beberu1982

    Azam Media mmekosa washauri? Punguzeni bei za vifurushi kunusuru bidhaa yenu

    WALLAH MM MWENYEWE NIMESHAWACHOKA AZAM NAANGALIA LIGI TU KWA SABABU MM NAPENDA MPIRA NA HIYO MICHEZO TU ILA BAADAE ITAWAKOST WANGEPUNGUZA BEI ILA BADO WAO WANAZIDI KUTUUUMIZW
  7. beberu1982

    Makosa tunayoyafanya wanaume tukidhani kuwa tumeyaweza maisha

    WANAWAKE WOTE MAKATILI Sent using Jamii Forums mobile app
  8. beberu1982

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    KWANI UKIBATIZWA NDIO UNAKUWA MUUMINI WA KWELI AU UKIBTIZWA HUFANYI DHAMBI MNAIBIWA TU HAKUNA KITU KAMA HICHO HAMJASHTUKA TU BADO Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
  9. beberu1982

    Tabia kanishinda, nimemuachia kila kitu ila bado ananisumbua. Nifanyeje?

    MKUU MJINGA MPE CHEO ACHANA NAE HUYO AKIKUTUMIA MSG USIMJIBU AKIKUPIGIA SIMU USIMJIBU MM NAKUPA WAZO MOJA KAMCHUKUE MTOTO MPELEKE KWA WAZAZI ASIKUSUMBUE SAWA MKUU HUYO HANA PAKUSHIKA TENA NDIO MAANA ANATAPA TAPA SAWA MKUU
  10. beberu1982

    Nmemkuta mke wangu anachorwa tatoo matakoni nyumbani na mwanaume

    HAKUNA NDOA HAPO Sent using Jamii Forums mobile app
  11. beberu1982

    Mke kasaliti ndoa, nifanyeje?

    Nimekuambia achana nae huyo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. beberu1982

    Mke kasaliti ndoa, nifanyeje?

    Achana nae Sent using Jamii Forums mobile app
  13. beberu1982

    Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    MM NAKUPA USHAURI WA BURE TU WW NDIE UNAEJUA ADHABU UNAYOIPATA KWA MKEO NA PIA UNA USHAHIDI TOSHA SASA KAZA PIGA MOYO KONDE NA KUWA NA MSIMAMO MMOJA HUYO HAKUFAI ATAKUHARIBIA MAISHA TU Sent using Jamii Forums mobile app
  14. beberu1982

    Baada ya mdogo wangu kufariki: Nimejifunza vijana kupata hela nyingi inaweza kuwa tatizo

    INNALULLAH WAINNAILLAH RAJIUUN ALLAH AMFANYIE WEPESI NA KUMUONDOAHEA ADHABU ZA KABURI Sent using Jamii Forums mobile app
  15. beberu1982

    TANZIA: Mama mzazi wa Zarina Hassan(Zari the Bosslady) afariki dunia

    KULU NAFSI DHAIKATUL MAUT Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom