Mke kasaliti ndoa, nifanyeje?

Mke kasaliti ndoa, nifanyeje?

Nawewe pia umesalitiwa na Mkeo kama Massawe?

Is this true story au unatuzingua tu?
 
Tafuta mbesai levai ukichapiwa na wewe mchapie
 
Na wewe ndio zako eeeh??? Usipohudumiwa ipasavyo unachepuka?? (Joke)

Mwanaume mashine inatakiwa utimize majukumu.

.......................................................................................
 
Wewe hujawahi kumcheat.... Au ni kwa sababu hajakuhisi au kukukamata? Kuwa mkweli hapa... Then nitakueleza kitu kizuri....!!!

Habari wadau,

Nina mke na mtoto mmoja na hivi karibuni nimekamata mawasiliano yaliyoonesha kuwa wife ananisaliti na jamaa mmoja hivi nikafatilia vizuri ikawa ni kweli na alikwishatembea nae mara moja.

Nikawa nimemuuliza kama anampenda sana tuachane aende zake wakaishi pamoja lakini akasema kuwa alipitiwa tu na nimsamehe.

Hii sijamshirikisha mtu yeyote kwa familia zetu na nikawa nimemuangalia tu tunaendelea kuishi ila simuamini tena kama nilivyomuamini awali.

Naomba ushauri kwenu wadau nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Uamuzi uko juu yako..Pole sana kwa masahibu hayo, inauma ila ndi Ndoa mkuu...
 
to the fullest had sheitwan ananuonea donge! vip na ww unatoa huduma ipasavyo
Mimi tena kama dume la Nyati vile, ushauri kwenu wanawake kama unaona uhudumiwi ipasavyo ni bora kufunguka kuliko kwenda kuonja vya nje mwisho wa siki ndio haya sasa unajihaibisha wewe mwenyewe na mumeo kama sio kusomba na magonjwa kabisa.
 
hahahahha hili sitalijibu kwakwli! sipo fresh kihisia kwasasa!
sasa aibu gan tena we nawe! msituchoshe
 
Hivi haya majibu mtu unayapokeaje
1.NILIPITIWA TU
2.SHETANI ALINIPITIA
....
.NI MAJIBU YA KIHUNI SANA....Unapitiwa ukigongwa kwenye sherehe huko but unatongozwa na mnapanga mkutane mnakutana then unaniambia ULIPITIWA......???
Hakuna jibu nitakalolipokea zaidi ya kukupa chako na usepe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayajakukuta Emmadogo weka akiba ya maneno wewe ndiyo utamwambia mkeo kama shetani alikupitia naomba ubadilishe njia ya kupita ili akikupitia Tena asikukute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom