Recent content by Beauty beauty

  1. B

    Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

    Kwani Hivi Bashe pamoja na mama Samia wanazoma huu uzi kweli?
  2. B

    Wanaokula mchana wa Ramadhani kukamatwa

    Habari imekaa kiumbea umbea maana haisemi ni wapi. ukute ni Mombasa huko au Zenji.
  3. B

    Ni rasmi sasa nimeingia kwenye penzi na binti wa duka langu, nichukue tahadhari zipi ili kuepuka shari kamili

    Siku kikinuka uje ulete mrejeshon tena. Kuna Bwashemeji wangu kafanya ujinga wa design hiyo hiyo copy na kupaste. Leo hii hana pa kushika tena. Amemuoa dada yangu. wakafungua duka jamaa akaamua kutembea na dada wa dukani. kilichofuata mahesabu dukani yakawa yanavurugika tuu. Kibaya zaidi akaamua...
  4. B

    Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Magu alisema matatizo ya nchi hii asipotatua yeye hakuna atakayetatua baada yake. Mungu ni fundi wa mafundi akaamua kumchukua ili tunaobaki tubakishe maneno. Sioni cha kumkumbukia aende zake
  5. B

    Mchepuko analazimisha nikalale kwake au atatembea na rafiki yangu

    Deep pond post zako huwa lazima mtu asome series zote hata kama ni chai
  6. B

    Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

    Nakadori wee empare wa wapi aisee
  7. B

    Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

    hapo nilipoweka highlight na bold na rangi. Huyo mwanamke kama mm ndo mume wake hakuna rangi ataacha kuona. Basi tu kuna wanaume wengine ni wavaa suruali tu siyo wanaume
  8. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Khaaa. mkuu ndo wewe umejihisi unachapiwa au? tulia bana
  9. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mi nimeshawachoka sasa. Kuna mmoja ana 34 yrs nilimtafuna alisquirt hatari sana alilowesha mashuka yangu ikabidi nianike godoro. Sijui nilimfanyaje alivibrate mama mtambo alipiga yowe sijawahi shuhudia. Baada ya hapo alilala usingizi kama masaa mawili na nusu sijamuamsha. alikuja kuamka yuko hoi...
  10. B

    Kwanini ninapoanza kusali tu, mwayo (Yawn) unanijia?

    Kimwili utaona ni dalili ya uchovu ila kiroho ni ishara ya nguvu za giza. Jiulize muda huo huo ukisema uwashe tv au pc uangalie movie mbona huchoki wala hupigi miayo
  11. B

    Wahudumu wa guest/lodge wapewe tuzo zao

    Hhahahah . Hususan kama safari yako inahitaji kuwa lodge kwa zaidi ya siku 2 au zaidi una uhakika wa % kubwa kuwala. Kuna sehem nilienda nikakuta wahudumu wawili. nilikuwa bize na kazi zangu nikawa siingii na dem wiki nzima. mhudumu mmoja akanifuata kuniambia hawajaona mwanaume mstaarabu kama...
  12. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyo mtoto wake alizaa na nani sasa kama siyo mume.
  13. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nilichojifunza kwenye groups za whatsaap watu wanajisevia sana
  14. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Masihara yangu ya mwaka 2022. wazazi wenye watoto shule fulani tulitengenezewa group la whatsaap. Kuna magroup mawili. Moja ni kama notice board tuu maana hakuna mzazi mwenye uwezo wa kutuma ujumbe. Group lingine ndo tunabwabwaja humo kila mzazi mwenye jambo lake anabwatuka humo. Sasa kwenye...
Back
Top Bottom