Wanaokula mchana wa Ramadhani kukamatwa

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Polisi ya Kiislamu Nigeria wametumwa Misikitini ili kuhakikisha usalama wa maisha na mali za Wananchi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Siku ya jana Alhamisi, Jeshi la polisi la kidini linalojulikana kama Hisbah Board, lilionya kwamba wale wanaojihusisha na maovu ya kijamii katika mwezi huu mtakatifu wataadhibiwa.

Kamanda mkuu wa bodi hiyo Harun Ibn-Sina, alinukuliwa akisema kuwa baadhi ya vijana wanaokula hadharani wakati wa mfungo pia hawatasalimika.

Bw Ibn-Sina alitoa wito kwa Waislamu kuwasaidia mayatima na wahitaji katika kipindi cha mfungo kilichoanza Alhamisi.

Bodi ya Hisbah inatekeleza sheria hizi za Kiislamu huko Kano, jimbo ambalo lina Waislamu wengi zaidi.
 
20230321_114301.jpg
 
HUU MFUNGO WA RAMADHANI MARA ZOTE UMEKAA KIFUTUHI FUTUHI UKICHAGIZWA NA VIASHIRIA VYA UDIKTETA UCHWARA.

WANATAKA DUNIA NZIMA ISIMAME KISA TU SWAUMU NA MAFUNDISHO YA MUDI? SI KWELI.

WANAOFUNGA WAFUNGE, LAKINI WASILAZIMISHE ULIMWENGU MZIMA USIMAME KWA AJILI YA MFUNGO WAO.
 
Polisi wa Kiislamu wametumwa Misikitini ili kuhakikisha usalama wa maisha na mali za Wananchi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Siku ya jana Alhamisi, Jeshi la polisi la kidini linalojulikana kama Hisbah Board, lilionya kwamba wale wanaojihusisha na maovu ya kijamii katika mwezi huu mtakatifu wataadhibiwa.

Kamanda mkuu wa bodi hiyo Harun Ibn-Sina, alinukuliwa akisema kuwa baadhi ya vijana wanaokula hadharani wakati wa mfungo pia hawatasalimika.

Bw Ibn-Sina alitoa wito kwa Waislamu kuwasaidia mayatima na wahitaji katika kipindi cha mfungo kilichoanza Alhamisi.

Bodi ya Hisbah inatekeleza sheria hizi za Kiislamu huko Kano, jimbo ambalo lina Waislamu wengi zaidi.
Nchi gani?
 
Cha ajabu ni waafrika wabantu weusi tii kusini mwa jangwa la sahara wanakumbutia upuuzi ulioletwa na taifa la mbali kwa nia ya kuwatawala kiutamaduni na kifikra. Huu upuuzi wa kiimani uishie hukohuko. Hapa msosi utaliwa mchana kweupe kila mtu ana dini yake tuheshimiane
 
Back
Top Bottom