Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,370
- 114,738
Uregevu huo, kuna wale wenzangu namimi tunakuwa active sana kwenye mambo mengi ila mda wa kusali chali unasinzia.
Kemea!!! Hii ktu usijaribu mkuu unatengeneza vibration ya vita pasipo wewe kujua namna gan ya kujitegua , angalia wengi wenye wanafanya maombi ya kukemea, angalia tu ata maisha yao kiujulma.kemea hali kama hiyo inawatokea wengi sana, sema wasemi tu
Uwapo kwenye Maombi zingatia unachokiomba.
Hiyo ni ishara ya kuwa mapepo yanakumiliki... Maana unapoingia kuomba unayaunguza na Moto wa Yesu... Dawa yake usiache... Yaani pale unapojisikia hivyo kaza buti... Ukiweza funga hata Siku Tatu ukiomba yatakuachia vinginevyo nenda kwa mchungaji akuombeeHabarini Wadau?
Hii imekuwa inanitokea mara zote ninapoanza kusali iwe asubuhi ninapoamka au hata usiku kabla ya kulala. Ninapoanza tu ibada, mwayo huo.
Kuna mdau inamtokea pia hii hali!? Nini inaweza kuwa sababu?
Nitaandika kwa ufupi. Sababu za kisayansi za kupiga miyao (yawning) zipo na ni mechanism ya mwili/ubongo kurefresh kupata oxygen zaidi na kuondoa uchovu/boredom.Habarini Wadau?
Hii imekuwa inanitokea mara zote ninapoanza kusali iwe asubuhi ninapoamka au hata usiku kabla ya kulala. Ninapoanza tu ibada, mwayo huo.
Kuna mdau inamtokea pia hii hali!? Nini inaweza kuwa sababu?
kwakweli hata mimi sana tu. Anoited room waishawahi kuongelea hili wakasema i shetani anakupa miayo usikie uchovu ufanye mambo kwa kulipua. suggestively jaribu kusali ukiwa umesimama
Hio ni brain activity/process
Nafkiri hio inatokea pale mtu unapoingia deep kwenye kutafakari, kufikiri au kuwaza, Technically unaposali una ingia deep ku think na ku create vile unavoviomba/salia in terms of imagination or visualisation.
Kumbuka sababu moja wapo ya yawning hutokea pale brain inapokuwa ina hitaji excess oxygen au inapokuwa exhausted or in high temperature.
Hivo ni kama mechanism ya brain ku obtain more oxygen and cooling down
Unapiga mwayo Kwa sababu ya ubongo kuwa na upungufu wa hewa.
Unapoomba Kwa mfano Sala ya BWANA, unakuwa unaaomba mfululizo bila kuweka kituo na kuvuta hewa ya kutosha, utakuwa unavuta hewa nusunusu Wakati huohuo ubongo utakuwa unatumia Oksijeni nyingi kukumbuka na kupangilia maneno kadiri yanavyotakiwa kwenye Sala ya Bwana, Hii inafanya ubongo kukosa hewa ya kutosha na kulazimisha mdomo upige mwayo ili uvute hewa ya kutosha na kutoa hewa taka kupitia pua.
kemea hali kama hiyo inawatokea wengi sana, sema wasemi tu
Uwapo kwenye Maombi zingatia unachokiomba.
Una mashetani(majini) ndani yako
Nishajiuliza sana hili, mpaka napata picha huenda ni nguvu fulani zisizotaka nisali.Kimwili utaona ni dalili ya uchovu ila kiroho ni ishara ya nguvu za giza. Jiulize muda huo huo ukisema uwashe tv au pc uangalie movie mbona huchoki wala hupigi miayo
Aisee mkuu asante,NINI KINATOKEA MTU ANAPOOMBA.
MTU.
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI.
Mtu wa nje ni mwili, mtu huyo Ili akue, anahitaji maziwa, chakula maji nk.
Mtu wa ndani Ili akue anahitaji Chakula Cha ROHO.
Chakula Cha ROHO ni NENO la Mungu, MAOMBI.
KWANN UNAPIGA MIHAYO au KUHISI USINGIZI.
1. Maombi ni chakula Cha mtu wa ndani, chakula hicho kinampunguzia nguvu mtu wa nje yaani mwili, bt chakula hicho, yaani Maombi kinaongeza nguvu Kwa mtu wa ndani.
Lazima mwili uhisi kuchoka bt Roho inaimarika.
2. MAPEPO na Majeshi ya Shetani hutumwa ktk Ulimwengu wa Roho kumzuia mtu asiombe.
Ukilala kitandani, uwe na HAKIKA Kuna nguvu za Giza zinahusika kumzuia mtu asiamke kuomba.
MAPEPO humletea mtu godoro ktk Ulimwengu wa Roho Ili alale, mwili utahisi kuchoka Ili kutii njama za mapepo sababu mwili hushindana na Roho always.
3. UKIOMBA UNAHARIBU KAZI ZASHETANI.
Mtu aliumbwa Ili Amwabudu Mungu, bt alipomuasi Mungu na kumfiata Shetani, mwili hutumika kumzuia mtu asiombe Ili Amwabudu shetani.
UKIOMBA shetani huteyemeka, hapendwi maombi kabisa.
UKIOMBA, Hasa usiku, unawazuia wachawi na mapepo kutesa watu.
Usiku una mambo, ukilala usiku na ukaamka umechoka, jua ulipigwa usiku ulipolala.
Ukilala mzima ukaamka mgonjwa, jua umeletewa UGONJWA ulipolala.
Maombi yanasaidia sana.
3. Kwann ukiangalia movie au kuchat husinzii.
Husinzii sababu unatii matakwa ya MWILI, bt chukua BIBLIA, ghafula utahisi USINGIZI.
4. Ufanye nn Usisinzie UKIOMBA?
Unamhitaji Roho wa YESU, Anaitwa Roho MTAKATIFU. Huyo atakusaidia upate nguvu za kuomba bila kuchoka.
Bt kumpata Roho MTAKATIFU unahitaji kufanya Registration.
Registration ni Kumwamini YESU kama Mungu na mwokozi na ukubali kuacha DHAMBI na kuishi maisha ya Utakatifu.
Ulifanya hivyo utafunguliwa Kutoka gerezani.
GEREZA ni NINI.
Mtu asiye na Roho MTAKATIFU ni mfungwa wa DHAMBI. Shetani huwapa mawakala wake kama Waganga na wachawi uwezo wa kutumia Baraka zako ulizozaliwa nazo, anawapa waendao Kwa Waganga na Kutoa sadaka Kwa shetani.
Asiye na Roho MTAKATIFU anawatajirisha kichawi matajiri wa Dunia bila kujua sababu wachawi wanauwezo wa kuhamisha baraka zako na kumpabyeyote wamtakaye na kukuachia Magonjwa na taabu.
Njaa mbaya sanaItakuwa ni njaa mkuu
Amen.Aisee mkuu asante,
Umedadavua vile ilivyopaswa kudadavuliwa. Hongeraa
Nguvu za ndani zinakujulisha na kukuhakikishia kwamba ufanyacho ni sahihi.Na zipo pamoja nawe kimaombi.Habarini Wadau?
Hii imekuwa inanitokea mara zote ninapoanza kusali iwe asubuhi ninapoamka au hata usiku kabla ya kulala. Ninapoanza tu ibada, mwayo huo.
Kuna mdau inamtokea pia hii hali!? Nini inaweza kuwa sababu?
Wanakudanganya, Nia ya kukudanganya ni usijue Kweli.Hata mimi hili swala linanitokea san. Kuna mtu alinambia nikiwa nasali nitakuwa nabana pumzi oxygen inapingua inaleta miayo. .
Nataka pia majibu ya haya
Nilidhani inanikuta mimi peke yangu kumbe na wewe pia, tafsiri yangu ni kuwa kusali kwa makini ni kuwa karibu na Mungu hivyo muovu lazima ajaribu kukatisha tamaa kwa namna yeyote ile. Huwa sikubali kuacha, naendelea hivyo na miayo yangu mpaka inakomaHabarini Wadau?
Hii imekuwa inanitokea mara zote ninapoanza kusali iwe asubuhi ninapoamka au hata usiku kabla ya kulala. Ninapoanza tu ibada, mwayo huo.
Kuna mdau inamtokea pia hii hali!? Nini inaweza kuwa sababu?