Recent content by Beautiful Lady

  1. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Akina dada wenye tabia hizi, hamtapona mbele za mungu

    weka picha
  2. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

    Hivi watu mnapata wapi ujasiri wa kusingiizia watumishi wa Mungu maneno kama haya.? kama huyo mtu wa rfa hakutaja majina, inakuwaje unaconclude kuwa ni Sedekia na Mwakasege wakati mwakasege si mchungaji.? Msijitafutie laana kwa nguvu toka kwa Mungu.
  3. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Mume kuitwa daddy na daddy aitweje?

    Na kumwita "baby" wakati mna watoto inakuwaje?
  4. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Nauza magari haya

    Mkuu spacio old model bei gani?
  5. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Nauza bbm 8525 mpya 250000/=

    bbm inauzwa..! makubwa.
  6. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, matusi ya nini? Mtu akihama ina maana mna kasoro, jiulizeni kwanza

    Hivi kwani akina Juliana wamehama au walifukuzwa? why hizo kasoro za ukanda na ukabila hawakuziona hadi walipofukuzwa?
  7. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Kampala International University

    Labda Mtaala wa University ndio uko hivi.
  8. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania bila kuwaona hawa huwa siangalii bunge.wewe je?

    Shibuda mzee wa ujira wa mwiha humpendi?
  9. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania kijana tulikumiss

    Hapo kwenye rangi nyekundu ni lugha gani?
  10. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania kuna upendo hapo??

    fuata ushauri wa bibie Lara 1 hapo juu.
  11. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania if u were to choose a HUSBAND......

    Ndio chaguo langu katika hizo options zilizowekwa.
  12. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania if u were to choose a HUSBAND......

    Namba 5 mie.
  13. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wanashindwa kutuamini?

    Hujaenda shule leo?
  14. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane riwaya za kusisimua

    " MKIMBIZI'' huwa sichoki kusoma hii riwaya.
  15. Beautiful Lady

    JamiiForums Tanzania Kunywa maji mengi

    Nenda hospitali kapime kisukari.
Back
Top Bottom