Mambo yasiyo kuhusu unayachkonoa ya nini?
Wewe si mwanachama wa ccm pia si msemaji wa wanachama kiherehere cha nini?
Fuatilia yanayokuhusu..mengine utaitwa mbea soon.
Ukweli gani zaidi ya hujuma? Kama sukari isingefichwa unadhani haya yangekuwepo? By the way mim si ccm Ila nimpenda haki kama rais wangu...tunaamini dhamira ya rais ni njema sana so sioni kama nisawa kuanza kumsemasema mtandaoni..
Wakati JK alipokuwa akitupuuza mlisema mengi Leo hii rais anachukua hatua tena za wazi zenge dhamira njema mapovu yanawatoka..mim nawaona kama vile waropokaji tu
Wafanyabiashara wameamua kuhujumu serikali wala hamna haja yakutokwa na mabovu humu, binafsi na unga mkono juhudi za serikali najua tatizo hili ni la kitambo kidogo then Hali itakuwa ya kawaida.
Acheni maneno ya dhihaka na midhaha na mkumbuke kuwa hii si serikali dhaifu mliyoizoea serikali hiii...
Halafu hii kutafuta umaalufu huwa sometimes Ina waharibia vibaya..yaani ukawa sasahiv wanatapatapa hawana pakushika. Tuna waheshimu lkn itafika mahali tutaanza kuwadharau maana mmekosa hoja zenye mshiko..muache rais afanye kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.