Neno Jasusi amelitoa kwenye muktadha wa kipolisi/jeshi na kulitafutia sehemu nyingine ikiwa na maana ileile.
Inawezekana hata wewe ukalitumia kwa jinsi unavyotaka na ikaleta maana iliyokusudiwa. Mf Gwajima Jasusi la mbinguni
Messi jasusi la soka, nk.
Sisiem chama kinakufa mikononi mwenu, nchi inateketea mikononi mwenu. Fanyeni jambo kwa ajili yenu na vizazi vyenu kabla hakujaoza na akakimbilia uarabuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.