SAME HERE, ntam txt first time, ata jibu short au long whatever, nta txt tena second time... Atajibu tena, na text tena mara ya 3 na hii kwangu ndio huwa mara ya mwisho kum txt a lady... ( kumbuka mara ya 1,2,3 zote umemuanza wewe kum txt a lady, yeye walaaaa)
So baada ya mara ya 3 ...