Miaka miwili sasa natuma maombi ya kazi Benki ya Posta(TPB) lakini sijawahi kuitwa japo usaili

Kwani lazima ufanye kazi TPB?
2 years unapoteza muda kuomba kazi benki,kisha?
Jiongeze,inawezekana Mungu hajakuandikia kufanya kazi huko.
Au wewe ulizaliwa TPB?
 
Jaribu kuomba sehemu nyingine mkuu, ni vizuri pia ukaangalia namna unavyoandaa docs zako hasa barua ya maombi na CV
 
Back
Top Bottom