Mbona hata Mimi niliandikiwa ivyo na mpk sasa nikiingia nakuta hayo maneno ila nilichofanya nikawa naingia ktk tovuti za vyuo vyote nilivyochagua na nikaliona jina langu udom university....kwa kukusaidia fuata utaratibu kama niliofanya mimi
Mkuu nisaidie nami nimechaguliwa hapo bache of biology matokeo yangu yalikua yafuatayo..biology B,chemistry B,physics E.Bam C je naweza kuchange hii koz maana naambiwa bio haina mpango hapo Mimi naijua vizuri mnooo
Mm nimechaguliwa udom bachelor of biology lkn nasikia eti iyo koz haina mpango wowote yaani wengi wanaomaliza kusoma hawapat kaz pia field hakuna..naomba tujuzane kama ni kweli nianze mipango ya kuhama mapema iwezekanavyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.